Mpaka kuleta hii habari huku tayari anatatizo la akili. Ameonyesha deniability, hii ni dalili ya kwanza. The more anacontinue na mahusiano dalili zitaongezeka. Kupenda nilishasema kunaisha, yaani hata umpende vipi kutaisha. Usioisha ni upendo wa wazazi hata wa ndugu huisha. Mpaka umri huu unaweza muuliza amependa wanawake wangapi na bado akaachana nao, sio kutamani bali kupenda. So hisia huyeyuka in a blank, afya ya akili huletwa na amani na kwa mwanaume heshima huplay big part. Hivyo vitendo alivyofanyiwa vyote ni dharau, hio uleta mental problems kwa mwanaume. Upendo huisha, wanandoa hukiri.