Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Hiyo lazimaUsisahau kwenda kujipongeza kwa njia unayoona n sahihi
AiseeYanga bingwa
Utupe na mbunu bwasiIlikua safari ndefu sana.
Nakumbuka mwaka 2005 nilikua naiona kama ni ndoto kubwa .Hatimae leo imetimia .
Watafutaji wote tusikate tamaa pesa zipo
Hii ni siri ya kambi mjombaUtupe na mbunu bwasi
Tupe hata mwanga ulivyoanzia hata kama ulianzia kuuza karanga poa tuHii ni siri ya kambi mjomba
Uuze karanga upate hela zote hizi??Tupe hata mwanga ulivyoanzia hata kama ulianzia kuuza karanga poa tu
Mbona kina Bahresa huwa wanatoa hizo storyUuze karanga upate hela zote hizi??
😀🤣🤣🤣kwenye matumizi hata usihofu najua starehe zoteNjoo nikuaonyeshe lounge yenye mademu wakali na bia za asali bwashee
well done,Ilikua safari ndefu sana.
Nakumbuka mwaka 2005 nilikua naiona kama ni ndoto kubwa .Hatimae leo imetimia .
Watafutaji wote tusikate tamaa pesa zipo
Mtoto wa tajiri unaombaje hela kizembe hivoNaomba 20k mkuu
kama ni siri ya kambi, kwa nini umetumiminia hii chai yako ya moto na jua lote hili.Hii ni siri ya kambi mjomba
😀🤣🤣🤣kwenye matumizi hata usihofu najua starehe zote
Changamoto tu mkuuMtoto wa tajiri unaombaje hela kizembe hivo