Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Everything has created twice first in the mind then in the reality na nyie ndo mnafanya jf ile kifungo cha maishaUnaweza kukojoa dagaa akiwa ametanguliza mkia?
Everything has created twice first in the mind then in the reality na nyie ndo mnafanya jf ile kifungo cha maishaUnaweza kukojoa dagaa akiwa ametanguliza mkia?
Wenge linakusumbua dogoEverything has created twice first in the mind then in the reality na nyie ndo mnafanya jf ile kifungo cha maisha
No commentRoba za mbao, mguu wa kuku na nini lakini 200m lmepatikana
Njoo uchukue toto zuri huku, toto Seran. Ila uwe makini na kibunda chako usije ukaanza upya mkuu.dalali kwenye 1&2
Hongera sana mkuu, pesa hiyo ni ndefu enjoy It, ni nzuri kama ni ya halali pia ni mbaya kama ni ya dhuruma.Ilikua safari ndefu sana.
Nakumbuka mwaka 2005 nilikua naiona kama ni ndoto kubwa .Hatimae leo imetimia .
Watafutaji wote tusikate tamaa pesa zipo
😃Wenge linakusumbua dogo
NidhamuIlikua safari ndefu sana.
Nakumbuka mwaka 2005 nilikua naiona kama ni ndoto kubwa .Hatimae leo imetimia .
Watafutaji wote tusikate tamaa pesa zipo
Hongera sana mkuu, pesa hiyo ni ndefu enjoy It, ni nzuri kama ni ya halali pia ni mbaya kama ni ya dhuruma.
Ila hiyo pesa ni kidogo sana kwa wale wenye pesa, Mimi ni Signatory katika Taasisi yetu.
Ninapopeleka Cheque kuna kadogo below 23 YRS kila siku huwa lanzima nikakute benki huwa kanaweka foleni watu wanzima, dogo anakujaga hadi na milioni 500. Baba yake ana sheli
unajishughulisha na ni?Ilikua safari ndefu sana.
Nakumbuka mwaka 2005 nilikua naiona kama ni ndoto kubwa .Hatimae leo imetimia .
Watafutaji wote tusikate tamaa pesa zipo
Na zaidi ni rohoni...Ni sawa.
Hata hivyo, UTAJIRI unaanzia kichwani na si mkononi
UtafikaMie mwaka huu nina lengo nifunge na 60M baada ya matumizi sijui nitafika,mambo ni tyt sana.
Hehehe fikra mwecheche, miss you bondiaZiheshimiwe fikra zako ndugu mwenyekiti,utafika mbali🤗🤗🤗🤗
Usingekuja kutuambia hapa sasaHii ni siri ya kambi mjomba