Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
- Thread starter
- #41
INaomba 20k mkuu
😀😀😀➡️Changamoto tu mkuu
INaomba 20k mkuu
😀😀😀➡️Changamoto tu mkuu
Hawana mbambaMatajiri bwana! 😊
Haaaaaaaaaah we mgumu mno ka mi nilikushindwa ye akuwezekwanini mkuu ushanipiga kipapai?
Nilisubiria mtu kuja pm waapidalali kwenye 1&2
kwani we ndio nani?Haaaaaaaaaah we mgumu mno ka mi nilikushindwa ye akuweze
kuwa mvumilivu haraka zako utakosa mchongo!Nilisubiria mtu kuja pm waapi
Ngoja niandike nne unipe michongokuwa mvumilivu haraka zako utakosa mchongo!
Ana 200MNjoo hapa mbezi kingachi lounge mkuu. Usijari bill yote nitaclear
Akikwambia nitagUmepiga dili gani mwanangu
sina lolote, stick humu ujiokotee dodo, si unaona matajiri kukicha!Ngoja niandike nne unipe michongo
Ama kakutana nazoAkikwambia nitag
more win!!Ilikua safari ndefu sana.
Nakumbuka mwaka 2005 nilikua naiona kama ni ndoto kubwa .Hatimae leo imetimia .
Watafutaji wote tusikate tamaa pesa zipo
Tulia mkuu utapeperusha ndegeAna 200M
Haaaaaaaaaah hii ni chuga ngoja nivungeTulia mkuu utapeperusha ndege
Roba za mbao, mguu wa kuku na nini lakini 200m lmepatikanaHii ni siri ya kambi mjomba
Unaweza kukojoa dagaa akiwa ametanguliza mkia?Tupe hata mwanga ulivyoanzia hata kama ulianzia kuuza karanga poa tu