Nashukuru Mungu nimetimiza milion 200 yangu kwanza?

Nashukuru Mungu nimetimiza milion 200 yangu kwanza?

Kama ndo umeanza kuropoka mapema hii pesa haitaki makelele, itakupotea jichunge.

Na huenda umekuja kujidanganya humu, umepata milion 200 bila mbinu, yakua umeipataje. Huo ni ukatiri
Wa kihisia, unawafanyia wenzio.
 
Hizi ndizo story nizipendazo. Hongera, tupo nyuma Yako kwa Kasi zaidi.
 
1780204263633.png
 
Hongera mkuu naomba mbinu nifikie hayo malengo namimi nivute LC PRADO TX 2023
 
Back
Top Bottom