Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari.

Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning.

Sasa asubuhi alipoingia kwenye chuma akaikuta hiyo kipande moja, ikabidi arudi ndani chap huku akiwa ameishikilia mkononi na akiwa mwenye hasira and seriously akataka kujua kwanini nimemfanyia vile na dharau ya ainagani nimeonyesha kwake.... Lahaulla...[emoji87]

Ikabidi kwanza nimshushe presha na hakua amekubali wala nimkumbatie... Dahhh..[emoji5]
Akili ikaanza kuzunguka kwa haraka ikifanya kazi ya ziada chap nikamwambia kipenzi changu aende job na akirudi jioni tutalizungumza kwasababu sazile nilikua namuona akiwa mwingi wa hasira.

Huku nikijitetea kwamba siwezi kufanya hivyo (wakati moyoni sina jibu) nikamwambia kwa msisitizo kwamba awe na amani na akirudi nitamueleza ukweli maana yeye ni mke wangu mpenzi na siwezi kumsaliti kamwe (hapo ikabidi niape kwanza[emoji23]).

Jioni alipo rudi kwanza alinikuta nimeshikilia bible najisomea, nikaiweka pembeni (nami nikawa nimesha pata jibu kwa kutumia mbinu za kimedani) kisha nikaanza kwa kumuelezea huku nikimkumbusha namna job kwangu tunavyo sisitizwa mambo ya kujikinga na magojwa ya kuambukiza pamoja na kucontrol magonjwa mengine hasa malaria.

Then nika ongea kwa msisitizo zaidi kwamba hiyo siku tulipewa/tuligaiwa kila mmoja kipande kimoja ya kondoms ili tukiwa kwenye training/refresher kila mmoja atafanya demonstration ili mwalimu/trainer aone kama wanafunzi wake wameelewa...[emoji12]

Baada ya kumwambia hayo huku nikisisitiza upendo na heshma kwake, akatabasam kidogo kisha nikamuimba msamaha kwa kosa la kujisahau na kuiweka kwenye gari badala ya kuitupa jalalani...[emoji846]

Kesi imeisha na tupo njema kabisa maisha yanaendelea kama kawaida...[emoji23]

Haya vijana chukueni point hapo...[emoji4]
Heri yako wewemimi nlikutwa na mafuta ya bunduki nimeweka sehemu ya jack...mziki ulikua si wakitoto mwisho wa siku yakaisha nikamkana kabla jogooo hajawika
 
KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI...
Unapoteza akili nguvu na uhai wako kujitetea ktk haki yako...
 
Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari.

Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning.

Sasa asubuhi alipoingia kwenye chuma akaikuta hiyo kipande moja, ikabidi arudi ndani chap huku akiwa ameishikilia mkononi na akiwa mwenye hasira and seriously akataka kujua kwanini nimemfanyia vile na dharau ya ainagani nimeonyesha kwake.... Lahaulla...[emoji87]

Ikabidi kwanza nimshushe presha na hakua amekubali wala nimkumbatie... Dahhh..[emoji5]
Akili ikaanza kuzunguka kwa haraka ikifanya kazi ya ziada chap nikamwambia kipenzi changu aende job na akirudi jioni tutalizungumza kwasababu sazile nilikua namuona akiwa mwingi wa hasira.

Huku nikijitetea kwamba siwezi kufanya hivyo (wakati moyoni sina jibu) nikamwambia kwa msisitizo kwamba awe na amani na akirudi nitamueleza ukweli maana yeye ni mke wangu mpenzi na siwezi kumsaliti kamwe (hapo ikabidi niape kwanza[emoji23]).

Jioni alipo rudi kwanza alinikuta nimeshikilia bible najisomea, nikaiweka pembeni (nami nikawa nimesha pata jibu kwa kutumia mbinu za kimedani) kisha nikaanza kwa kumuelezea huku nikimkumbusha namna job kwangu tunavyo sisitizwa mambo ya kujikinga na magojwa ya kuambukiza pamoja na kucontrol magonjwa mengine hasa malaria.

Then nika ongea kwa msisitizo zaidi kwamba hiyo siku tulipewa/tuligaiwa kila mmoja kipande kimoja ya kondoms ili tukiwa kwenye training/refresher kila mmoja atafanya demonstration ili mwalimu/trainer aone kama wanafunzi wake wameelewa...[emoji12]

Baada ya kumwambia hayo huku nikisisitiza upendo na heshma kwake, akatabasam kidogo kisha nikamuimba msamaha kwa kosa la kujisahau na kuiweka kwenye gari badala ya kuitupa jalalani...[emoji846]

Kesi imeisha na tupo njema kabisa maisha yanaendelea kama kawaida...[emoji23]

Haya vijana chukueni point hapo...[emoji4]

Na ulimpa NDIZI siku hiyo?
 
we usijione mwamba ukasema eti imeisha hiyo....we jichanganye kwa vyoyote vile siku ingine kama hilo suala la kondomu halitaibuliwa uniite mimi nyoko!...hao wanawake ni viumbe vina gubu hatari mkuu...gubu laweza kaa moyoni miaka elfu na moja lakini anakuchekea
 
Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari.

Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning.

Sasa asubuhi alipoingia kwenye chuma akaikuta hiyo kipande moja, ikabidi arudi ndani chap huku akiwa ameishikilia mkononi na akiwa mwenye hasira and seriously akataka kujua kwanini nimemfanyia vile na dharau ya ainagani nimeonyesha kwake.... Lahaulla...πŸ™Š

Ikabidi kwanza nimshushe presha na hakua amekubali wala nimkumbatie... Dahhh..☺
Akili ikaanza kuzunguka kwa haraka ikifanya kazi ya ziada chap nikamwambia kipenzi changu aende job na akirudi jioni tutalizungumza kwasababu sazile nilikua namuona akiwa mwingi wa hasira.

Huku nikijitetea kwamba siwezi kufanya hivyo (wakati moyoni sina jibu) nikamwambia kwa msisitizo kwamba awe na amani na akirudi nitamueleza ukweli maana yeye ni mke wangu mpenzi na siwezi kumsaliti kamwe (hapo ikabidi niape kwanzaπŸ˜‚).

Jioni alipo rudi kwanza alinikuta nimeshikilia bible najisomea, nikaiweka pembeni (nami nikawa nimesha pata jibu kwa kutumia mbinu za kimedani) kisha nikaanza kwa kumuelezea huku nikimkumbusha namna job kwangu tunavyo sisitizwa mambo ya kujikinga na magojwa ya kuambukiza pamoja na kucontrol magonjwa mengine hasa malaria.

Then nika ongea kwa msisitizo zaidi kwamba hiyo siku tulipewa/tuligaiwa kila mmoja kipande kimoja ya kondoms ili tukiwa kwenye training/refresher kila mmoja atafanya demonstration ili mwalimu/trainer aone kama wanafunzi wake wameelewa...😜

Baada ya kumwambia hayo huku nikisisitiza upendo na heshma kwake, akatabasam kidogo kisha nikamuimba msamaha kwa kosa la kujisahau na kuiweka kwenye gari badala ya kuitupa jalalani...πŸ™‚

Kesi imeisha na tupo njema kabisa maisha yanaendelea kama kawaida...πŸ˜‚

Haya vijana chukueni point hapo...😊
Na siku ukipata magonjwa umfiche mpaka utakapokufu
 
Ushawahi kukutwa na pakti ya comdom ambapo mbili zimetumika imebaki moja ?
Unaijibu vipi kesi hii?
Duh lilinikuta hili aisee, aisee nilijaribu mpaka kuita fire kuzima moto huo ila fire walifika na maji hawakuwa nao...ilikua mtiti siku hiyo, kifupi niliishia kulala uwani kwenye gari....nyumba ilifungwa milango yote aloijenga asiingie....hapo ndio utajua kuna mwenye jengo na mwenye nyumba!!....wanawake nyoso ...mtu mzima ikibidi niwe mdogo aisee ....ila ilisaidia...
 
we usijione mwamba ukasema eti imeisha hiyo....we jichanganye kwa vyoyote vile siku ingine kama hilo suala la kondomu halitaibuliwa uniite mimi nyoko!...hao wanawake ni viumbe vina gubu hatari mkuu...gubu laweza kaa moyoni miaka elfu na moja lakini anakuchekea
Apia....🀨
 
Na wewe umeamini wife alienda kazini? [emoji1787][emoji1787] Ukute alienda Kwa bebi wake wa akiba kupunguza hasira, hapo karudi anakuchora tu, watoto wa mjini tunasema both teams to score[emoji1787][emoji1787][emoji1787], wahenga walisema mla huliwa[emoji1787][emoji1787]
Na vyake huliwa zaidii!!![emoji38][emoji38][emoji38]
 
Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari.

Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning.

Sasa asubuhi alipoingia kwenye chuma akaikuta hiyo kipande moja, ikabidi arudi ndani chap huku akiwa ameishikilia mkononi na akiwa mwenye hasira and seriously akataka kujua kwanini nimemfanyia vile na dharau ya ainagani nimeonyesha kwake.... Lahaulla...πŸ™Š

Ikabidi kwanza nimshushe presha na hakua amekubali wala nimkumbatie... Dahhh..☺
Akili ikaanza kuzunguka kwa haraka ikifanya kazi ya ziada chap nikamwambia kipenzi changu aende job na akirudi jioni tutalizungumza kwasababu sazile nilikua namuona akiwa mwingi wa hasira.

Huku nikijitetea kwamba siwezi kufanya hivyo (wakati moyoni sina jibu) nikamwambia kwa msisitizo kwamba awe na amani na akirudi nitamueleza ukweli maana yeye ni mke wangu mpenzi na siwezi kumsaliti kamwe (hapo ikabidi niape kwanzaπŸ˜‚).

Jioni alipo rudi kwanza alinikuta nimeshikilia bible najisomea, nikaiweka pembeni (nami nikawa nimesha pata jibu kwa kutumia mbinu za kimedani) kisha nikaanza kwa kumuelezea huku nikimkumbusha namna job kwangu tunavyo sisitizwa mambo ya kujikinga na magojwa ya kuambukiza pamoja na kucontrol magonjwa mengine hasa malaria.

Then nika ongea kwa msisitizo zaidi kwamba hiyo siku tulipewa/tuligaiwa kila mmoja kipande kimoja ya kondoms ili tukiwa kwenye training/refresher kila mmoja atafanya demonstration ili mwalimu/trainer aone kama wanafunzi wake wameelewa...😜

Baada ya kumwambia hayo huku nikisisitiza upendo na heshma kwake, akatabasam kidogo kisha nikamuimba msamaha kwa kosa la kujisahau na kuiweka kwenye gari badala ya kuitupa jalalani...πŸ™‚

Kesi imeisha na tupo njema kabisa maisha yanaendelea kama kawaida...πŸ˜‚

Haya vijana chukueni point hapo...😊

Huyu ni Ushimen OGπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Salam kwa wifi
 
Tupo njema kabisa aunt, wapwa zako pia hawajambo na Mungu amekua muaminifu sana hapa nyumbani kwetu..☺

Hahaha watu kama wewe ni wale mmebarikiwa baraka za agano mlilo nalo na Mungu

Hata kwenye mapungufu Mungu anakumbuka agano na kuwafanyia wepesi

Vijana wakiuiga bila kujua hilo wataumiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Amen....πŸ™
 
Back
Top Bottom