mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
PumbaPia ni rahisi sana kusamehewa kama unamiliki gari.
Ukiwa huna gari hata uwe na pointi 100 we ni msaliti tu na haufai kupewa nafasi ya pili.
Kama una maisha ya kumfanya mkeo awe na option ya kuamua kutumia aina gani ya gari itayomfaa kwa mtoko wa siku hiyo, basi hauhitaji kuwa makini kwenye vitu ambavyo mkeo akiona atajua umem cheat.
Ukisahau ndomu kwenye dashboard ya gari ni simple sana wife kukuelewa kuwa ni bahati mbaya kuliko ukisahau ndom kwenye kiti cha baiskeli.