Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

[emoji28][emoji28][emoji28]kweli kabisa ni kheri uombe msamaha yaishe chap ila ukileta hadithi za ujanja utateseka sana
Kuna kesi ilitokea January ila sijaiachia hadi juzi kaongea kwa uchungu anaomba nisiongelee tena nisamehe 7x70 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana kaona nimemkalia kooni kwa style tunacheka ila nikipata upenyo nambuluza na hilo kosa lake
Hakuwahi kuomba msamaha alinikazia sana Ila juzi kakubali yaishe
I got you! 🤣🤣🤣🤣 Shem akikaa vibaya utamkumbusha Hadi uzeeni.
 
Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari.

Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning.

Sasa asubuhi alipoingia kwenye chuma akaikuta hiyo kipande moja, ikabidi arudi ndani chap huku akiwa ameishikilia mkononi na akiwa mwenye hasira and seriously akataka kujua kwanini nimemfanyia vile na dharau ya ainagani nimeonyesha kwake.... Lahaulla...[emoji87]

Ikabidi kwanza nimshushe presha na hakua amekubali wala nimkumbatie... Dahhh..[emoji5]
Akili ikaanza kuzunguka kwa haraka ikifanya kazi ya ziada chap nikamwambia kipenzi changu aende job na akirudi jioni tutalizungumza kwasababu sazile nilikua namuona akiwa mwingi wa hasira.

Huku nikijitetea kwamba siwezi kufanya hivyo (wakati moyoni sina jibu) nikamwambia kwa msisitizo kwamba awe na amani na akirudi nitamueleza ukweli maana yeye ni mke wangu mpenzi na siwezi kumsaliti kamwe (hapo ikabidi niape kwanza[emoji23]).

Jioni alipo rudi kwanza alinikuta nimeshikilia bible najisomea, nikaiweka pembeni (nami nikawa nimesha pata jibu kwa kutumia mbinu za kimedani) kisha nikaanza kwa kumuelezea huku nikimkumbusha namna job kwangu tunavyo sisitizwa mambo ya kujikinga na magojwa ya kuambukiza pamoja na kucontrol magonjwa mengine hasa malaria.

Then nika ongea kwa msisitizo zaidi kwamba hiyo siku tulipewa/tuligaiwa kila mmoja kipande kimoja ya kondoms ili tukiwa kwenye training/refresher kila mmoja atafanya demonstration ili mwalimu/trainer aone kama wanafunzi wake wameelewa...[emoji12]

Baada ya kumwambia hayo huku nikisisitiza upendo na heshma kwake, akatabasam kidogo kisha nikamuimba msamaha kwa kosa la kujisahau na kuiweka kwenye gari badala ya kuitupa jalalani...[emoji846]

Kesi imeisha na tupo njema kabisa maisha yanaendelea kama kawaida...[emoji23]

Haya vijana chukueni point hapo...[emoji4]
Usichokijua mke wako anajua kuwa umemdanganya ila anaona amni ni Bora kuliko mabishano.......
 
Points.
Usidanganye kabla hujapanga beki.

Tumia Imani ya opponent kudanganya.

Uongo unawafaa wenye magari.

Tujitahidi kurudi nyumbani kabla ya wake zetu.

Mwanamke akikupenda anavumilia hata kama anajua unamdanganya.

Kila mtu awe na gari lake kuepusha mizozo
Kwa hiyo hapo kidume unatakiwa ucheze formation ya 7-2-1, beki nyingi au sio😂
 
Back
Top Bottom