Nasibu S.M form 6 Ndanda Sec alikuwa na changamoto gani?

Nimekumbuka Top layer na Uono pale uhuru park Tanga kwenye zile hostel za USA,pale mzimuni tunachungulia madem wanapanda daladala!!mezani kuna BS na Nelkon ya physics!!
 
Ubabe sina Niko very kinda Ila ujanja mwingi

By then nilikuwa na rafiki kiongozi wa chakula sikuwah ona impact yoyote aseeh zaidi sana nilijiongeza mapema ko nikawini 😂😂........
Yeah maisha ya bweni yanahitaji mtu awe namna hii, bila hivyo utajikuta unawekewa nusu na robo ya kikombe cha wali😂😂😂... Kwahiyo ili utoboe inabidi uwe na kauchawa fulani na ndugu kiongozi
 
Huo mhuri sio wa kufoji kweli,maana siamini headmaster kuidhinisha upuuzi kama huo
Kuna vijana wako na uthubutu mkuu, halafu kijana kama huyo baadae anakua mwana siasa anaenda zake jimboni kuomba kura😂😂😂😂... Hamtachomoa wananchi mbele ya uongo wake.
 
Yeah maisha ya bweni yanahitaji mtu awe namna hii, bila hivyo utajikuta unawekewa nusu na robo ya kikombe cha wali😂😂😂... Kwahiyo ili utoboe inabidi uwe na kauchawa fulani na ndugu kiongozi
Hahaha yaani bila hivyo ngumu kwetu ilikuwa ni mnakula kwa table dish, hakuna kupanga foleni sasa! Inabidi upate special case ule mapema maak muda huo msosi ni direct jikoni.... so far i was enjoying ubwabwa na top layer 😂 ama pilau
 
Hizo janja janja tu za vijana... Ukoko ni mwingi kwahiyo unaachiwa jungu baada ya wenzako wote kupewa kikombe kimoja cha wali, ila alichonishangaza ni namna alivyomshawishi huyo mkuu wa shule hadi kumpa hiko kibali😂😂😂
Ukute dogo alitumwa ofisini akaiba muhuli
 
Hatari, sema yalikua maisha fulani hivi ya hovyo ila matamu kimtindo maana stress ni za kufeli tu zaidi ya hapo hamna zingine 😅😅😅
 
Vijana wa aina hiyo ni kupambana wakitaka kuwa wana siasa wasiende kwenye upande uliopo madarakani kwa maana strategy hizo hizo wataendelea kuzitumia kwenye sanduku la kura😂😂😂😂
 
Hizo janja janja tu za vijana... Ukoko ni mwingi kwahiyo unaachiwa jungu baada ya wenzako wote kupewa kikombe kimoja cha wali, ila alichonishangaza ni namna alivyomshawishi huyo mkuu wa shule hadi kumpa hiko kibali😂😂😂
Mjanja yeyote huwa hakurupuki juu juu kuanzisha project yake.

Hapo ni ama aliripoti shule akiwa na makaratasi tokea huko alikotoka, ama seke seke hilo ni kuanzia siku ya kwanza ya kuripoti.

Mtu kama huyo ana uwezo wa kuvumilia kutokula wali wa kawaida kama akikuta ukoko umelowekwa maji.

Mimi niliigiza sana huo ujinga.

Ilikuwa kwenye kazi ngumu nakamatwa na kipanda uso cha mchongo na kuanza kuvuja damu puani.

Ukinikuta naigiza utanihurumia.

Mpaka namaliza nilikuwa siguswi kwenye kazi yoyote ngumu ya nje.
 
Na
Hatari, sema yalikua maisha fulani hivi ya hovyo ila matamu kimtindo maana stress ni za kufeli tu zaidi ya hapo hamna zingine 😅😅😅
Sikuwah fikiria kufeli kabisa 😂

Nimemaliza fom six ndo nakuja fikiria Pepa ya chem nasema hivi mbn ntazngua

Nawaza nikizngua home watanielewa vipi ? Na wana niamini kinoma!

Nipo depo nawaza matokeo sijui itakuaje! Yanatoka nimefanya vzr!

Toka hapo mm na course za sayansi nikapiga chini mzee......

Kwa ujumla shule hasa boarding schools zina raha yake, mkiwa bwenin, kupigania msosi, preps muda wa kutongoza, kuoga ile ya pamoja 😂 😂....... saa hz unaoga mwenyw hutaki hata uonekane miguu......

Ila was amazing life aseeh....
 
Mimi nakumbuka sh
Mjanja yeyote huwa hakurupuki juu juu kuanzisha project yake.

Hapo ni ama aliripoti shule akiwa na makaratasi tokea huko alikotoka, ama seke seke hilo ni kuanzia siku ya kwanza ya kuripoti.

Mtu kama huyo ana uwezo wa kuvumilia kutokula wali wa kawaida kama akikuta ukoko umelowekwa maji.

Mimi niliigiza sana huo ujinga.

Ilikuwa kwenye kazi ngumu nakamatwa na kipanda uso cha mchongo na kuanza kuvuja damu puani.

Ukinikuta naigiza utanihurumia.

Mpaka namaliza nilikuwa siguswi kwenye kazi yoyote ngumu ya nje.
uleni kulikuwa na zamu ya kusaga, kukoboa makande na kubeba sijawahi fanya hizo kazi hata mara moja!

Shambanii nilienda kupata exploring ya mazingira tuu,

JKT nikaenda nipo na vyeti mbele nafika nasikia Kuna kujila mara ukiwa mtiifu utajimaliza ooh nikasema hapa ndo penyeww na hivi vyeti ni Raha mustarehe!

Uli chokisema ni ukweli mtupu!
 
Na

Sikuwah fikiria kufeli kabisa 😂

Nimemaliza fom six ndo nakuja fikiria Pepa ya chem nasema hivi mbn ntazngua

Nawaza nikizngua home watanielewa vipi ? Na wana niamini kinoma!

Nipo depo nawaza matokeo sijui itakuaje! Yanatoka nimefanya vzr!

Toka hapo mm na course za sayansi nikapiga chini mzee......

Kwa ujumla shule hasa boarding schools zina raha yake, mkiwa bwenin, kupigania msosi, preps muda wa kutongoza, kuoga ile ya pamoja 😂 😂....... saa hz unaoga mwenyw hutaki hata uonekane miguu......

Ila was amazing life aseeh....
Hongera yako hukuwa na hizo stress ila Mimi zilinikuta hizo, kuna syndrome nilikua nayo coz nilipofika shule niliona jamaa wengi walishapiga pre form five ila Mimi sikupiga kwahiyo Kila kitu nilikua nakiona kipya.

Nikapataga bro pale pale alinikimbizia pure ndani ya wiki mbili kama sio tatu tukawa tumeiua, ila cha ajabu bado nilitoka kapa kwa maana Kila nilivyokua najaribu kusolve maswali kwa concept za jamaa naenda op.

Hadi niliporudi mchikichini kwa marehemu Mudi physics na Man chippa ndio maajabu yalifanyika😅😅😅.

Sisi kutongoza ilikua hadi twende shule za girls au joint mass, vinginevyo ni sabuni😂😂😂
 
Sikuwah soma pre fom five wala heka heka zao hazikunishtua......

Nilikuwa busy na wanangu wa hgk huko!! 😂

Au nikifika prep ni kusoma mafema na magazeti tuu.....

Uboyzn mzee.....

Nimepokea sana vimemo kutoka machame galz, na songea galz 😂

Splash To monetary doctor 😂😍
 
Wewe kipaji kutoka moyoni mkuu😂😂😂... Songea girls, GS wao alikua mwamba sana hawa nyakati ambazo Mimi nilikua nasoma kule... Kuna kashule Nako kalikua kanaitwa London girls kalikua na warembo sana😅😅😅.
 
Kipaji Tena vipi kaka,

Yule dogo saa hz tuna view tuu status japo tunapigana tafu inapobidi.....

Namwona ana furahia life so poa......

Kuna hao mademu wa weruweru walivyo kuwa wanalindwa utadhani ni bk😂
 
Hawa wakulindwa ndio huwa wanasumbua sana wakifikaga chuo, wanakua moto sana coz wanataka kufidia ule muda wa kubanwa😂😂
 
Back
Top Bottom