Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Fact
 
Sawa ndugu
 
Yeyote anajiua kwa issue ya mbususu huwa namwona bwege mtozeni.

Issue ya uchumi hata mimi inaweza kunitoa roho kirahisi sana.

Kuna wakati unaoambana kukusanya mtaji halafu unapotea. Unapambana tena na tena, lakini unapotea na hakuna cha maana unamiliki.

Akili inafika mwisho wa kufikiri na maisha hayaendi. Kujidhuru hakuepukiki.

Una madeni ya milioni 20 halafu biashara imekufa. Unafanyaje?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Yeah kuna gap but it,s not physical gap,,,,,,,spritual gap mkuu
Yeah mkuu so, deal with it na ninaamini kwa sababu upo smart hilo ni tatizo zaidi maana lazma utafanya overthinking ambayo itakupelekea kulikuza jambo kuliko uhalisia na umuhimu wake. .

Ndio maana hicho kilichomiss unaona kama hakikukamilishi wala kukutimilisha kiasi cha kuona vingine ulivyonavyo havikubariki au kukupa furaha ya kutosha tofauti na uhalisia.

Jifunze kujikubali na kuridhika maana bila hivyo, ile kiu ya kutaka ukamilifu au vitu vingine zaidi in life haitokuacha salama.
 
Kila mtu ana issue yake anayoiona inaweza kumtoa roho kirahisi..!! Na kila mtu ana ishu anayoiona kama mtu itampa mawazo ya kujiua basi huyo anayewaza hivyo ni bwege sana..!!! Wewe unaona mbususu ni ubwege kukuuwa lakini wengine wanaona kinyume chake. Same to ishu ya uchumi, wewe inaweza ikakuuwa kirahisi wakati mtu mwingine anaona kujiuwa kwa sababu za kiuchumi ni ubwege..!!

Utamu wa maisha upo kwenye tofauti zetu
 
...It reaches a point in life when you feel nothing in the body, mind and soul...na unapokuja huku mitandaoni, instead of kupunguza stress ndo kwanza unaongezewa, kuchekwa na kubezwa...na kudhalilishwa as well...Tena unaonekana sio mwanaume, mzembe, usiye na mipango, mlalamishi, usiye na future...yote hiyo ni Kwa sababu wanaume tunajua kuficha SIRI na kuwa imara...unaelezea mtu shida yako , anakuambia why usiuze hiyo smartphone yako,? So sad ...
 
Pesa ninazo na uchumi upo oky,,,but deep inside i feel emotion less towards life...
The same as Wanaojiua wanavyokua wanahisi!!!Life seem empty and nothing
Naelewa mkuu Kuna muda mwenye pesa anatamani awe na hali ya kawaida hata kuwa masikini, maana hafurahii pesa alizonazo wanaofurahia na kufaidika ni wengine kabisa, unawasaidia watu ndugu jamaa na marafiki lakini hawana shukrani, ukiwaambia huna pesa watasema una Roho mbaya. Kumbe pesa Nazo zina malengo. Muda mwingine mkeo hutumia pesa hovyo akijua mume Anazo, watoto unasomesha shule nzuri na ada kubwa lakini matokeo zero. Hapo Sasa furaha utaipata wapi. Mkuu JIPENDE KWANZA WEWE. Wengine watafata baadae.
 
NIJIPENDE KWANZA MKUU
OKY NIMEKUELEWA
 
Mkuu upo sahii na una uelewa mkubwa sana wa saikolojia ya maisha.
I apriciate you bro
 
Pole sana mkuu jitahidi kuomba sana na kwenda kwenya ibada pia
 
Mkuu unaongea vitu sahii mpaka natokwa na machozi mkuu!!
Thanks for support brother,,,be blessed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…