Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Mkuu nina watoto watatu na mke na kila kitu financial kipo poa...
But nina tatizo la ulevi uliopindukia mkuu...
Wa pombe kali kali
Basi kama una familia linapokuja wazo la kujiua jaribu kufikiria familia hasa watoto wako watatu.

Nadhani ulevi ni tatizo la wengi hapo sina lakukushauri mkuu, hata mimi huwa naonja ila si kulewa.
 
Mkuu unamwamini rabon, ngoja sisi Akina Tomaso tusubiri tuone Kama kweli Dar itashugulikiwa
 
Hizo clinic tatizo wanatunanga sana wakijua huko nyuma tulikuaga wabwia heroin na molly

Utanangwa, hiyo inaitwa "fear of unknown". Tambua tatizo nenda ukamwone mwanasaikolojia, hakuna wa kukunanga atakusaidia kwenye mapito yako. Ukifika ujitahidi kutumia vyema muda wako kuelezea ulikopitia mpaka ulipo na mengine mengi ambayo haujaweka hapa.. Kuna sehemu kuna sintofahahamu inayoutibua mwenendo wa utendaji kazi wa ubongo wako. Utasaidiwa jinsi ya kuenenda vyema ukiwa ume-balance.
 
Umesema kweli! Changamoto za kiuchumi ulizonazo nyuma yake yako mashetani yaliyotumwa kukutesa! Wachawi! Wenye wivu, mizimu ya kwenu kwasababu hujaenda kuisujudia. N.k. Okoka! Mtafute Yesu ili uyashinde! Au nenda kwa waganga wakupatie mashetani makubwa kuliko hayo yayanyamzishe! maana ndivyo wafanyavyo hao waganga! Vinginevyo Utajiua kweli!
 
Ushakufaasijunyingiiii nakuonaaa umebakii kashatu .mkuuu teteanafsiyakokwenyemaombii elseeushaendaa
 
Tatizo mda wote nalewa mkuu..
Sasa naona aibu kwenda kwa dkt wangu wa saikolojia afu akajua mm napiga pombe wakati alinikataza.
 
Rabbon pitia hapa....

Nakuelewa mkuu, hayo mambo yanakuwa na 'roho' ovu na inahitaji jitihada hasa kiroho ili kuishinda hii hali.
Ahsante ndugu Proved

Mwandishi wa thread ndiye aliyeandika thread ya " Utafiti juu ya Mungu wa walokole".

Naamini ameandika thread hii Kwa tukio la Msanii Nisher aliyejiua wakati kwao pesa halikuwa tatizo.

Jambo muhimu hapo ni kuhakikisha muda wote connection na Roho mtakatifu inakuwepo muda wote Ili kufukuza sauti za Pepo wa MAUTI na kubakiza sauti ya Roho wa Yesu aitwaye Roho MTAKATIFU.
 
Mkuu umefumbua fumbo,,,,big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…