Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Kataa hilo pepo ndugu, ukiliendekeza utajitoa kweli uhai wako.

Jichanganye na watu, tafuta sehem zilizo changamka kwa muda wako wa mapumziko

Epuka sana kukaa pekeako, Ongea na mtu wako wakaribu kuhusu yanayo kusibu, kataa hilo pepo.
Sawa mkuu
 
Sawa mtumishi
 
Daaah mkuu
 
Duiih
 
Hili nalo neno mkuu...but life seem empty despite i hv almost everything

You don't have everything brother maana kama ungekuwa navyo bhasi suicide feelings usingezipata unless ni spiritual issues.

What I know kuna kitu ulimiss, unamiss au unahofia kukimiss ndio maana kuna emptiness unaipata kwa sababu hakuna kitu cha kufukia hilo gap isipokuwa hicho kitu ambacho huna.

Mkuu suicide thoughts huwa ni impact na haitokei tokei tu mkuu kwa hiyo deal na hicho kinachokupa restlessness
 
fanya yote lakini usithubutu kujiua mkuu... ebu imagine jinsi mapenzi yalivyo matamu... jinsi mbususu zilivyo tamu... leo ujiue utuachie utamu sisi ....!


no matter what problem you face please do a favor for yourself life is to short lakini sio kwa kujiua...japo hiyo hali inatesa na kusumbua sana.


in my child hood nilishawahi kujitundika kitanzi ili nife😭😭😭

nilishawahi kunywa sumu😭😭😭

kwa ufupi nilipitia changamoto nyingi ambazo kama sio Mungu leo hii ninge kuwa nimesha kufa...😭😭😭​
 
Pesa ninazo na uchumi upo oky,,,but deep inside i feel emotion less towards life...
The same as Wanaojiua wanavyokua wanahisi!!!Life seem empty and nothing
Mkuu ninakushuri tembelea hospitali, vituo vya watoto yatima, pita pita mitaa mama ntilie wanapomwagiliwa biashara zao na migambo wa jiji wasiokuwa na chembe ya huruma na jela, kwa kiasi fulani utaweza kuona namna maisha yalivyo na kwamba katika hii dunia siyo peke yako mwenye matatizo au changamoto. Pia, jishughulishe na kazi au michezo na mwili uchoke haswa. Utalala vizuri na utaachana na mawazo ya kijinga. Pia, badilisha vijiwe vyako, upgrade yourself. Pia angalia mahusiano yako ya kimapenzi hili nalo ni janga kubwa, kuna mtu alishauri hapo juu tafuta wa size yako au wa chini ya size yako...upwiru ni ule ule na kyuma zinafanana tu no matter the status.
 
Pesa ninazo na uchumi upo oky,,,but deep inside i feel emotion less towards life...
The same as Wanaojiua wanavyokua wanahisi!!!Life seem empty and nothing

Umeokoka?

Upweke niliokuwa nao ambao haukujazwa na kingine chochote ulipata dawa yake baada ya kumkiri Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yangu.

Umaana wa maisha ulianzia hapo, hata sasa siishi kwa ajili yangu ila ili yeye atimize yake kupitia kwangu, na huo ndio utimilifu (uwepo ndani ya Kristo, aliye AGENDA iliyo kuu)

Hizi harakati za kutafuta kuishi, hiyo sio haswa sababu ya sisi kuishi bali ni namna ya kutuwezesha kuwa hai, ili tuishi kusudi la kutimiza KILE ambacho UMEPANGIWA. Una nafasi gani unayojaza kwenye ulimwengu huu (ufalme) wa aliyetuumba?
 

Anene kwa lugha, itakuwa mwiiiiisho wa matatizo [emoji1488]
 
Ooh polesana
 
Nelson Nelson Nelson, nakuitia Mara tatu, kweli ujumbe unawakilisha vijana wengi ila sio wewe, wewe mbona mpambanaji, unajitambua na unanjozi za kukimbiza, embu nisaidie kuuliza hiyo sauti maswali haya:
1. Kufa kunanipa suluhu gani katika kufikia njozi za maisha?
2. Je huko nako enda nikifa ni wapi?
3. Naanza Je kwenda mahali sipajui na sijajiandaa?

Tafadhali akikujibu nirudishie majibu alafu mjadala uendelee!! 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…