Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Yeyote anajiua kwa issue ya mbususu huwa namwona bwege mtozeni.

Issue ya uchumi hata mimi inaweza kunitoa roho kirahisi sana.

Kuna wakati unaoambana kukusanya mtaji halafu unapotea. Unapambana tena na tena, lakini unapotea na hakuna cha maana unamiliki.

Akili inafika mwisho wa kufikiri na maisha hayaendi. Kujidhuru hakuepukiki.

Una madeni ya milioni 20 halafu biashara imekufa. Unafanyaje?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mkuu unaongea pointi
 
Yeah mkuu so, deal with it na ninaamini kwa sababu upo smart hilo ni tatizo zaidi maana lazma utafanya overthinking ambayo itakupelekea kulikuza jambo kuliko uhalisia na umuhimu wake. .

Ndio maana hicho kilichomiss unaona kama hakikukamilishi wala kukutimilisha kiasi cha kuona vingine ulivyonavyo havikubariki au kukupa furaha ya kutosha tofauti na uhalisia.

Jifunze kujikubali na kuridhika maana bila hivyo, ile kiu ya kutaka ukamilifu au vitu vingine zaidi in life haitokuacha salama.
Oky mkuu
 
Kila mtu ana issue yake anayoiona inaweza kumtoa roho kirahisi..!! Na kila mtu ana ishu anayoiona kama mtu itampa mawazo ya kujiua basi huyo anayewaza hivyo ni bwege sana..!!! Wewe unaona mbususu ni ubwege kukuuwa lakini wengine wanaona kinyume chake. Same to ishu ya uchumi, wewe inaweza ikakuuwa kirahisi wakati mtu mwingine anaona kujiuwa kwa sababu za kiuchumi ni ubwege..!!

Utamu wa maisha upo kwenye tofauti zetu
Kweli mkuu
 
Sauti inakuja kichwani jiue....!!!

Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue.

Maisha yakibana jiue.....
Matarajio yakifutika jiue....
Makwazo yakitokea jiue...

NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA MSINGI KIROHO NA KIMWILI.

Mimi nawakilisha vijana wengi ambao kutokana na changamoto za maisha na matokeo yake, tunasumbuliwa na sauti za ushawishi wa kujiua.

Machoni pa watu tupo very smart na hali zetu za kiuchumi sio mbaya. Ila rohoni tuna mizigo ya maumivu na hatuwezi kuonyesha in public sababu jamii haituruhusu vijana wa kiume kuonyesha changamoto zetu hadharani.

Sasa hapa ndipo sauti za kujiua zinapoanza kutuandama. Mimi ni muwazi nimesema ila vijana wengi hawasemi wanaishia kujiua.

Na ndio maana siku hizi kuna wimbi la vijana wengi kujikatisha uhai wao.
Mbona Kama unanisema mimi[emoji29] Yani Ni kujiua kabisaa
 
Biashara ikigoma jiue. I agree with that 100%.
Girlfriend wako amesema hakutaki,usijiue.
Au kama wengine wanavyopenda kufanya; wanamuua girlfriend,halafu wanajiua wenyewe.
Sasa,nataka kumwona huyu Nabii Giordani. Nasikia mtoto wake alijiua. Na huyu mtoto biashara zake zilikuwa hazijagoma.
Sasa,nimekwenda kule asubuhi,lakini yaelekea nilifika mapema sana. Sasa nataka kurudi tena.
 
Hili nalo neno mkuu...but life seem empty despite i hv almost everything
Afrika ni watu wengi wanaangamia kwa sababu ya mambo kama depression kwa sababu watu wanaona ni kama ugonjwa wa kujitakia na hata diagnosis na treatment yake ipo chini sana. Na vigumu sana kumwelewesha mtu ambaye hajapitia hiyo hali akuelewe. Kuna jamaa mmoja aliugua ugonjwa wa depression akasema kitu alichokuwa anatamani kila siku ni kufa tofauti na alipokuwa na kansa ambapo alikuwa anaomba aishi. Kutegemea na ni nini kinachosababisha hali yako, kuna wakati ambapo kubadilisha sehemu unayoishi na watu wanaokuzunguka na kwenda sehemu kama vijijini inasaidia sana. Kule utakuta watu wenye shida ambazo zitakufanya uone za kwako ni cha mtoto.
 
Sawa mkuu
 
Biashara ikigoma jiue. I agree with that 100%.
Girlfriend wako amesema hakutaki,usijiue.
Au kama wengine wanavyopenda kufanya; wanamuua girlfriend,halafu wanajiua wenyewe.
Sasa,nataka kumwona huyu Nabii Giordani. Nasikia mtoto wake alijiua. Na huyu mtoto biashara zake zilikuwa hazijagoma.
Sasa,nimekwenda kule asubuhi,lakini yaelekea nilifika mapema sana. Sasa nataka kurudi tena.
Duuh
 
Sauti inakuja kichwani jiue....!!!

Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue.

Maisha yakibana jiue.....
Matarajio yakifutika jiue....
Makwazo yakitokea jiue...

NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA MSINGI KIROHO NA KIMWILI.

Mimi nawakilisha vijana wengi ambao kutokana na changamoto za maisha na matokeo yake, tunasumbuliwa na sauti za ushawishi wa kujiua.

Machoni pa watu tupo very smart na hali zetu za kiuchumi sio mbaya. Ila rohoni tuna mizigo ya maumivu na hatuwezi kuonyesha in public sababu jamii haituruhusu vijana wa kiume kuonyesha changamoto zetu hadharani.

Sasa hapa ndipo sauti za kujiua zinapoanza kutuandama. Mimi ni muwazi nimesema ila vijana wengi hawasemi wanaishia kujiua.

Na ndio maana siku hizi kuna wimbi la vijana wengi kujikatisha uhai wao.
Joseph Stalin mtawala wa zamani wa Sovieti aliwahi kunukuliwa akisema "Death is a solution of every thing, no man no problem"
Alimaanisha kwamba kifo ndio suruhu ya kila kitu. Matatizo mengi yanasababishwa na binadamu na matatizo yapo kwa ajili ya binadamu.

Bro we endelea na mpango wako wa kujiua
 
Back
Top Bottom