BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Kuna nyakati zifike watu tutumia akili tulizo pewa na Mwenyezi Mungu, tupunguze kuuziwa ujinga na hadaa.
Hakuna mbunge kutoka chama chochote kile anaweza letea Jimbo lake maendeleo ilihali nchi haina sera za Jimbo na jimbi linategemea sera za nchi.
Hawa wabunge tunao wapigia chapuo kwa sasa wanaenda kutengeneza ajira zao pale Dodoma kwa faida ya Familia zao na kuchungulia dili.
.Baada ya Vikao watakuwa wanaenda Jimboni na kuchangia Bati, misumari na cement kuhadaa wajinga kwamba hayo ndio maendeleo yenyewe.
Swala la kwamba Mbunge analetea jimbo maendeleo ni hadaa za muda mrefu zana ambapo bado wajinga wa hili Taifa wanauziwa hizo hadaa.
Unless kama kila Jimbo lina Bajeti yake, na lina sera zake lenyewe yaani linajiamulia mambo yake lenyewe, kama ni kutegemea sera za nchi basi hakuna kitu hapo.
Chukulia mfano wa Jiara, Hivi Mbunge anawezaje tatua tatizo la ajira Jimboni kwake kama huu sio uongo wa wamchana kweupe?
Nimetembea almost nchi nzima matatizo ni yale yale common, sijawahi ona penye nafuu hata kidogo.
Haijalishi ni kutoka Chama gani, iwe CCM iwe ni CDM hakuna kitu hapo.
Nashangaa kuna watu wanajiita great thinker na wameenda shule bado wanauziwa hizi hadaa na kuzinunua.
Unawezaje kuuziwa uongo kwamba Mbunge analetea jimbo maendeo na ilihali unajua katiba ya nchi ilivyo na muundo wa utawala ulivyo?
kuna sera za afya za kila jimbo?
Kuna sera za ajira za kilajimbo?
kuna sera za kila jimbo jinsi ya kuondoa umasikini?
Kuna sera za kila jimbo za uwekezaji?
TUACHE UJINGA

- Shida ya ajira
- Huduma mbovu za afya hasa gharama kubwa na kuto muwepo na bima
- Mazingira magumu ya kufanya kuanzisha biashara.
- Kodi
- Umasikini mkubwa sana wa vipato, yes kuna lami ika muna unasikini wa vipato.