Nasikitishwa na uhusiano wetu na Kenya, unaumiza wakulima na wafanyabiashara

Nasikitishwa na uhusiano wetu na Kenya, unaumiza wakulima na wafanyabiashara

Tumeambiwa mapapai,mbuzi etc ya/wanaugua corona ,inawezekana hadi mahindi yameambukizwa covid 19. Au vipi wajameni?
 
Kama biashara haina uadui mbona Nyerere alipiga marufuku bidhaa za Kenya kuingia Tanzania.Kama kuingia ziliingia kwa magendo?

Waulize waliokuwapo kipindi cha nyerere maisha walioishi , hayakuwa maisha mazuri

Biashara hina uhusiano na uadui

Kwa fikra kama hizi ndio maana kundi moja la watu kutoka kuzaliwa mpaka kufa ni masikini
 
Mimi nilikuwepo.Heshima ni bora kuliko kuendekeza njaa.Ni bora kula muhogo kuliko mkate wa kusimangiwa.By JPM
 
Uhusiano na Kenya ni mbaya enzi na enzi walishachukua mpaka ndege zetu wakati wa EAC ya mwanzo labda kama hujui historia yetu na Kenya. Saa hizi Kenya wanaumia sana baada ya kuwabana wizi wa madini yetu ya Tanzanite na Dhahabu pia kuwanyima ajira hapa nchini. Tutawanyoosha tu pamoja na nyinyi vibaraka wao mliokuwa mnafaidika na wizi huo hatutarudi nyuma.

Unaingiza mapenzi kazini? Shauri lako sitoshangaa wewe ni mmojawapo wa aambao kutoka kuzaliwa hadi kufa ni masikini
 
Mimi nilikuwepo.Heshima ni bora kuliko kuendekeza njaa.Ni bora kula muhogo kuliko mkate wa kusimangiwa.By JPM

Yale maisha aliyoyaendekeza Nyerere yalimsababishia kutokea kwa yaliyotokea , wanajeshi walimpangia waliompangia na ilibaki kidogo mwaka 1983 aende na maji sema bahati nzuri awamu hii mmojawapo ya wanajeshi aliunguza mchoro

Bila ulevi na kutojielewa wa yule mwanajeshi Nyerere angeuwawa na wanajeshi wanamapinduzi ile mwaka 1983 na hata maafisa wakubwa wa Jeshi sababu ya ubaya wa utawala wa Nyerere walijua kitachotokea na kwa makusudi waliacha wale wanajeshi wa vyeo vya chini wamshikishe adabu Nyerere
 
Mi natamani mpaka wetu na kenya ufungwe kabisa,tusihusiane kabisa yan..hawa wakenya si wenzetu kama si tunavyowachukulia..anyway,jamaa wanaumia sana na lile bomba la hoima,
Hilo bomba la hoima liko wapi? Mmeuza mafuta mapipa mangapi mpaka sasa? Maana tuliambiwa linakamilika 2020.
 
Hilo bomba la hoima liko wapi? Mmeuza mafuta mapipa mangapi mpaka sasa? Maana tuliambiwa linakamilika 2020.
Wewe bwege kweli mkataba usainiwe 2020 na limalizike mwaka huo huo lenye umbali wa zaidi ya km 1500? Are you serious you ass?
 
Kwanini wati wanakimbilia kufikiri ni vita ya uchumi kabla ya kujirithisha kwamba mahindi kweli hiyo aflatoxin imezidi kiwango au la....hii ni sumu mbaya hata kwetu watanzania hasa tunaotumia Dona. Hii sumu inatokana na jinsi tunavyohifadhi mahindi baada ya kuvunwa. Ninafahamu mtu alipata tenda nzuri tuu ya ku supply koroshi nchi fulani alipopeleka sample ya korosho zake baada ya kupimwa zikakutwa na afflatoxin juu ya kiwango na akapoteza biashara. Tusikimbilie kulaumu kabla ya kuhakikisha haya mahindi maana hata sisi watanzania tunayatumia inawezekana tunalishana sumu taratibu bila kujua.
 
Yale maisha aliyoyaendekeza Nyerere yalimsababishia kutokea kwa yaliyotokea , wanajeshi walimpangia waliompangia na ilibaki kidogo mwaka 1983 aende na maji sema bahati nzuri awamu hii mmojawapo ya wanajeshi aliunguza mchoro

Bila ulevi na kutojielewa wa yule mwanajeshi Nyerere angeuwawa na wanajeshi wanamapinduzi ile mwaka 1983 na hata maafisa wakubwa wa Jeshi sababu ya ubaya wa utawala wa Nyerere walijua kitachotokea na kwa makusudi waliacha wale wanajeshi wa vyeo vya chini wamshikishe adabu Nyerere
Nyerere ametujengea heshima sana kusini mwa Afrika .Unatakiwa ulitambue hilo pia.Mimi nimepita boarder(Nakonde/Tunduma,Chirundu/Zambia Zimbabwe,BeitBridge/Zimbabwe,Tlokweng/SA/Botswana.SA nimetokea Jburg-WestenCape/Cape Town .Nimeishi Midrand-Gauteng,4 years.Huko kusini tunaheshimika sana tofauti na Wakenya au watu wa West Africa.Ukiona mtanzania amepata matatizo nchi za SADC ujue huenda anajihusisha na biashara haramu;Army robbery,wizi wa magari au drugs.
 
Ni bilioni ngapi kuuwekea uzio mlima wetu mreeefu kuliko yote balani Africa upande wa Kenya kule ambako wanaingilia watalii?
 
Wewe, kabla ya Magu wakenya walikuwa wanawatia vidole mnakaa kimya, Magu kasema hapana ndio maana unaona wanavyorusha rusha miguu.
Ndivyo mlivyoambiwa kwenye kikao cha leo
 
Nilitamani kuanzisha uzi kuhusu hili suala lakini nashukuru kwa bandiko hili maana limelenga kile nilichotaka kusema.

Binafsi nimekuwa mdau wa kilimo kwa muda mrefu sana, kuanzia kulima mpaka kushiriki makongamano mbalimbali yanayohusiana na sekta ya kilimo na kuna hoja kadhaa ambazo wakulima wamekuwa wakizitoa kwa Serikali lakini kutofanyiwa kazi na hii sasa ndio majibu yake, japo inabidi kutafiti zaidi kama kweli Kenya wanasema ukweli au ndio VITA YA KIUCHUMI.

Hoja kubwa ambayo imekuwa ikitoka mara kadhaa ni kuhusu suala la mbegu, wadau wameshauri mara nyingi turudi kwenye mbegu zetu za asili maana hizi tunazoambiwa za kisasa zina changamoto nyingi sana, mojawapo ni hii ya kushambuliwa na wadudu hali inayopelekea wakulima kutumia madawa mengi sana ili kuweza kulinda mazao yao, na hili nimelishuhudia kwa macho yangu, sasa kwa hali hii tutajiteteaje kwamba mahindi yetu hayana sumu?

Wakulima watanielewa vizuri kwenye hili,

Na hapo nimeongelea madawa kwenye mahindi pekee, rudi kwenye nyanya, matikiti nk, huko ndio usiseme, dawa inayomwaga huko huwezi amini kwamba inaingia tumboni kwa binadamu.

Mimi nashauri wadau wa kilimo wasikilizwe, ianzishwe bank ya mbegu zetu za asili kuliko kutegemea hizi za kisasa tunazoletewa maana wakati mweingine kuzitunza ni ngumu sana kwasababu ya kushambuliwa na wadudu.

Halafu kama hatuwaamini Mabeberu ( Bill Gates) kwenye chanzo za COVID kwa nini tunahamasisha wakulima wetu watumie mbegu zao, Rejea matumizi ya mbegu zilizofanyiwa GMO huku nako kuna madhara mengi zaidi.
Mkuu kwan story za GMO bado zinaendelea mbona ni kama kulipigwa ban matumizi yake
 
We unaeandika utumbo huu ni mkulima au umejiskia tuu uandike!!?
Unajua shida tunayoipata sisi mipaka ikifungwa mbeha wewe!!?

Alafu nmekumind kishenzi yaan.
Msamahe bure hajui adha inayopatika has a wakenya wakizingua
 
Kwanini wati wanakimbilia kufikiri ni vita ya uchumi kabla ya kujirithisha kwamba mahindi kweli hiyo aflatoxin imezidi kiwango au la....hii ni sumu mbaya hata kwetu watanzania hasa tunaotumia Dona. Hii sumu inatokana na jinsi tunavyohifadhi mahindi baada ya kuvunwa. Ninafahamu mtu alipata tenda nzuri tuu ya ku supply koroshi nchi fulani alipopeleka sample ya korosho zake baada ya kupimwa zikakutwa na afflatoxin juu ya kiwango na akapoteza biashara. Tusikimbilie kulaumu kabla ya kuhakikisha haya mahindi maana hata sisi watanzania tunayatumia inawezekana tunalishana sumu taratibu bila kujua.
Asante sana Bonge.
Watanzania tunatakiwa kujitazama kabla ya kuwalaumu Wakenya.
Aflatoxin ni sumu mbaya sana inayotokana na utunzaji mbovu wa mahindi. Aflatoxin inaleta kansa.
Tujiulize: Kwa nini mahindi yetu yana Aflatoxin, na nini kifanyike kupambana na sumu kuvu hii?
Wakulima wetu wanaijua?
Wakulima wetu wanajua cha kufanya ili mahindi yetu yasipate sumu kuvu hii?
 
We unaeandika utumbo huu ni mkulima au umejiskia tuu uandike!!?
Unajua shida tunayoipata sisi mipaka ikifungwa mbeha wewe!!?

Alafu nmekumind kishenzi yaan.
Jamaa usikute ndio wateule wa jiwe.
Wanaishi kwa sifa na vigelegele hawajui wakulima wanasuffer.
 
Wewe bwege kweli mkataba usainiwe 2020 na limalizike mwaka huo huo lenye umbali wa zaidi ya km 1500? Are you serious you ass?

Mkataba ulisainiwa 2017 ukiwa bado uko shule ya msingi, ama hukumbuki uzinduzi wa mradi kule Chongoleani Tanga, hadi Makonda na Marehemu Ruge wakapatanishwa na Magufuli? Ama unadhani tumesahau? Bado hujapanick, utapanick vizuri we kima.
 
Back
Top Bottom