Uchaguzi 2020 Nasimama na Dkt. John Pombe Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM

Ukimuona mwanasheria anamtetea Magufuli basi ujue ni walewale! Yani kwa kumtetea Magufuli huna sifa ya uanasheria
Jamani tuwe waelewa japo kidogo, huyu naye ana familia, mtaani pagumu.

Ccm huwa inawapa ajira wanasheria wanakuwa wanadheria wa chama wanalipwa mishahara, mimi simlaumu kwa kweli.

Kuwa wakili wa kujitegemea kwa kutegemea kuwaandikia watu Affidavit na kuwagongea mihuri kwa tozo ya buku kumi tu hivi unadhani huyu mwenzenu hata Toyota IST ataendesha mwaka gani?

Mzee Yusuf tu mwenyewe njaa imemkimbiza kwa mungu ndio sembuse huyu wakili wa kawaida?
 
Nimeipenda hiyo mtni umeamua kuwa muwazi. Hata mimi nimeona jamaa zetu wa CDM wameamua kuwa kama wachekeshaji tu sioni chochote wanachokisema naona wameamua kuazima style ya Trump
 
Vyeo vimejaa Mkuu, pole
 
Asante kunielewesha. Kumbe mawazo yetu yanalingana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…