Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Family failures inaletwa na single mother pekee? Failures zinaletwa na wazazi irresponsible, wanaume na wanawake
Ndio maana nikasema kama mwanamke anajiweza kiuchumi na anaweza kumtunza mwanae yupo huru kuzaa...kuna familia ya single mother zinafanya vizuri kuliko za wazazi wawili
Hakuna familia ya single mother ikafanya vizuri dunia ingalipo.
Ukiona hivyo ujue kuna nguvu ya kiume inaratibu shughuli zote za kimaadili, kiuchumi, kiakili, maarifa n.k.
Mama Hana uwezo wa kumfanya mtoto wa kiume kuwa Mwanaume KAMWE