Nasisitiza; Binti usizae kabla hajakuoa(Epuka kuwa single Mother)

Nasisitiza; Binti usizae kabla hajakuoa(Epuka kuwa single Mother)

Ndoa kuvunjika, hapo usingle mother haupo.
Watoto huwa huru kupata huduma ya wazazi wote wawili, watoto hutambulika kwa ndugu wote,
Ila ukizaa na mme wa mtu aisee,..
Pasua kichw sana,
Kwanza mtoto hufichw kama ARVs...
Acha kukariri,mambo hayapo straight kama unavyojarubu kuelezea. Siyo kila single maza kazaa na mume wa mtu,pia siyo kila mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa anapitia maisha magumu..siyo kila aliye zaliwa ndani ya ndoa na wazazi wakaachana anapata support kutoka kwa ndugu.. mifano ipo mingi mnoo.Acha kukariri mambo
 
Ndoa kuvunjika, hapo usingle mother haupo.
Watoto huwa huru kupata huduma ya wazazi wote wawili, watoto hutambulika kwa ndugu wote,
Ila ukizaa na mme wa mtu aisee,..
Pasua kichw sana,
Kwanza mtoto hufichw kama ARVs...

Kwa hiyo waliotoka kwenye Ndoa wanaitwaje?
 
Ni mwili wake mwenyewe na kama anaweza kumtunza mwenyewe hana deni na mtu akiamua kuzaa na anayemtaka..hii ni 2022 sio 1960
Msimamo mzuri, sema ndio mwanzo wa kwenda kutafuta faraja kwa mitume na manabii na kuwa followers wa failures wa ndoa
 
Wewe Kwa akili yako unajua sheria zipo mahakamani tuu pekee?
Kwa Uelewa wako dunia inaamuliwa na mahakama pekee yake?
huyo hajui mkuu... mahakama ziko nyingi sana hata yeye kuna wakati anazipitia jina mahakama itakuwa limemchanganya..kuna mahakama za kijamii vile inakuona kwa ujinga wako au uovu wako kuna mahakama za kiroho hii ya pili watu wengi wako kwenye hiyo mahakama za kiroho
 
Ni mwili wake mwenyewe na kama anaweza kumtunza mwenyewe hana deni na mtu akiamua kuzaa na anayemtaka..hii ni 2022 sio 1960
Halafu akiona mtoto amepata mafanikio mwanaume anaanza 'oooooh mimi baba yake lakini hanishughulikii'.

Aendelee tu na hamsini zake kama vile hana shida na mtoto. Mama ndiyo ameamua kuzaa na kulea.
 
Mbona nina mpango wa kumbebea mapacha, itakuaje sasa🤣🤣

Maarifa,
Mpigie Force king akuoe hata ndoa ya bomani, hata kama unajua anamke fanya hivyo,
Lengo ni kumfunga kitanzi na wewe kujipa haki pamoja na hao mapacha unaotaka kumbebea.

Siku akizingua mkaachana sheria inakuwa upande wako, unajifanya ulikuwa hujui Kama ameoa na itifika zote za kisheria zilifuatwa, ukaolewa.

Nje ya hapo, utaonekana hamnazo, mvamizi.
 
Akili huwakaa sawa wakishazalishwa afu ndio wapo wametelekezwa, yaani utawaonea huruma.
 
Aisee, attack on women. Sadism at work. Waacheni watu na maisha yao. Mnajua wamepitia mangapi. Yaani wengine wawepo kwenye ndoa uchwara kisa usingo mother. Fyuuuu
uliingiaje kwenye ndoa_uchwara?
 
Back
Top Bottom