Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
hapa ulikuwa unajaribu kutetea ujingaAcha kukariri,mambo hayapo straight kama unavyojarubu kuelezea. Siyo kila single maza kazaa na mume wa mtu,pia siyo kila mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa anapitia maisha magumu..siyo kila aliye zaliwa ndani ya ndoa na wazazi wakaachana anapata support kutoka kwa ndugu.. mifano ipo mingi mnoo.Acha kukariri mambo