Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Wameamua kupunguza abortion.Hivi sasa hapa Tanzania kuna Wanawake wengi sana Wana mimba ambazo Baba zao hawaeleweki ni kina nani! Mimba zimetelekezwa tu.
Wengine Wamezaa kabisa lakini Wanaume wamekimbia na Wanalea wenyewe.
Wengine kwa sababu zao tu baada ya kupata mtoto wanavunja uhusiano na Mwanaume wanabaki wanalea mtoto tu.
Zamani kuzaa kabla ya kuolewa ilikuwa sio kawaida labda uwe umebakwa ila sasa kuzaa kabla ya ndoa imekuwa Fashion. Utakuta Wanachuo wengi sana Mwaka wa mwisho wana mimba lakini hawajaolewa. Mwisho wa siku uhusiano unakufa wanabaki na mtoto bila baba.
Unahisi kwanini siku hizi wanawake wanazaa kabla ya ndoa?
Je, kwanini kuna Single Mothers wengi mno? Nini kifanyike ili kuondoa tatizo hili? Maana ni jambo baya sana, mtoto akilelewa na Mama tu hawezi kuwa strong, atakuwa kirembo mno!!! Kuna haja kubwa sana mtoto kulelewa na Baba akiwepo.
Kataa kutoa utelezi siku ya hatari na hakikisha unayempa ametumia kinga.
Ila wanaume wenzangu sijui mnawezaje kukataa mimba unayojua ya kwako halafu maisha yakaendelea