Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Family failures inaletwa na single mother pekee? Failures zinaletwa na wazazi irresponsible, wanaume na wanawake
Ndio maana nikasema kama mwanamke anajiweza kiuchumi na anaweza kumtunza mwanae yupo huru kuzaa...kuna familia ya single mother zinafanya vizuri kuliko za wazazi wawili
Na kuwa single mother kavunja sheria gani? Mpeleke mahakamaniUkiishi na watu kuna sheria
Kama ni mwili wake aende porini
Na kuwa single mother kavunja sheria gani? Mpeleke mahakamani
Kinachowaponza mabinti wa kisasa katika hili la usingle mother ni Tamaa, wanawake skuiz wanapenda maisha mazuri mnoo ndani ya muda mfupi, kwaiyo akitokea mwamba akasuka uongo wake vzr binti anatanua mapaja chap. Ni ngumu sana kuliepuka hili wacha wakomae na watoto wao tuu!
Ndio sheria zinazotambulika hizo, hizo nyingine ni huko huko kwenuWewe Kwa akili yako unajua sheria zipo mahakamani tuu pekee?
Kwa Uelewa wako dunia inaamuliwa na mahakama pekee yake?
Kuoa ama kuolewa ni overrated mnoo..huyu jamaa anasahau ni ndoa ngap zinavunjika kila siku? Tena mwanamke anarud kwao na mtoto akiwa bado mchanga,Kama binti ana kazi na anaweza kumlea mtoto wake mwenyewe asizae asubirie kuja kuolewa anaweza akazekea nyumbani.
Vijana wa siku hizi hawa ambao role model wao ni akina Diamond na Harmonize? wapenda Singeli ndio waje kuoa?
Kila mtu aishi anavyotaka ili mradi asiwe kikwazo kwa wengine
Hakika,jamaa ana mentality za kizamani mnoo.Ni mwili wake mwenyewe na kama anaweza kumtunza mwenyewe hana deni na mtu akiamua kuzaa na anayemtaka..hii ni 2022 sio 1960
Tena hao watoto wa kiume wengi wanaolelewa na single mother huwa wanaishia kuwa mashoga kutokana na kukosa maadili ya kiume ktk malezi yake. Naunga mkono kauli yako kwamba single mother hawezi lea mtoto wa kiume ktk maadili ya kiume, never!Hakuna familia ya single mother ikafanya vizuri dunia ingalipo.
Ukiona hivyo ujue kuna nguvu ya kiume inaratibu shughuli zote za kimaadili, kiuchumi, kiakili, maarifa n.k.
Mama Hana uwezo wa kumfanya mtoto wa kiume kuwa Mwanaume KAMWE
Nyuzi zake nyingi huonyesha jinsi alivyokariri maisha, Kuna single mothers wengi ni matokeo ya ndoa kuvunjikaKuoa ama kuolewa ni overrated mnoo..huyu jamaa anasahau ni ndoa ngap zinavunjika kila siku? Tena mwanamke anarud kwao na mtoto akiwa bado mchanga,
Ndoa kuvunjika, hapo usingle mother haupo.Kuoa ama kuolewa ni overrated mnoo..huyu jamaa anasahau ni ndoa ngap zinavunjika kila siku? Tena mwanamke anarud kwao na mtoto akiwa bado mchanga,