Nasisitiza, kijana kama upo chini Miaka 40 usioe Single mother. Hilo huhitaji mjadala

Kikubwa awe na uzazi tuu!
 
Umepiga kwenye mshono...bado anapumua...
 
Mike Tee ft Juma Nature - nampenda nani 🎢🎢🎢🎢 awe mnyaki msanzu mweusi mweupe asiwe mgogo, mfano kukataa anasema ndeema kila napomgusa anahemaa, kusema toka hapa anasema egepa, ngoma ikikata anasema imenyopa, hivyo ndvyo mapenzi ya kinyalu yanavyo kwendaga. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mimi ni mkongwe JF tangu 2011 ila ninae single na ana mimba
 
Wewe unachukia wanawake tunakujua, single mothers or not tunakujua topics zako
 
Robert Heriel Mtibeli ikiwa mwanaume una watoto 4, unaruhusiwa kumuoa single mother..

Huyo single mother ana mtoto mdogo wa miaka 2.6, baba mtoto hayupo kabisa kwenye maisha yake, na endapo mwanaume utakubali basi huyo mtoto anakuwa wako 100%.

Huyo single maza anafaa au hafai bwana mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…