Nasisitiza, kijana kama upo chini Miaka 40 usioe Single mother. Hilo huhitaji mjadala

Single mama wengi wanajielewa...

Si unajua ukishang'atwa na nyoka ukiguswa na Jani unastuka...
Ni kweli kwa maana ya ku handle na kujilinda wasiumizwe tena.
Lakini tabu za kisaikolojia ni nyingi sana kwa hawa watu. Unajikuta unakuwa kama therapist na hapo hapo una matatizo yako.

Kingine single mothers wengi kamshipa ka roho ngumu au mbaya zidi ya wanaume huwa kako on kanaenda kanakuwa kutegemeana na kitu anachokabiliana nacho.

Nilikuwa nawatetea, ila nikaji preview baada ya kuwa nao kama 6 hivi.

Single mother labda kama utamlea kiarabu, aishi katika compound na kutii sheria, mitoko bila miongozo maalumu hakuna.

Nadhani single mother wakwake ni mzee au single father. Kuna exclusive case wanakuwa ni wanyoofu lakini ni project ngumu, ambayo kama kijana, au kaka yako akitaka kuianza mwambie tu aangalie options nyingine kwanza.
 
Asante Mungu.....nimechomoa sana hii mitego,ni mingi mno. Kuna time nawaza km nisinekuwa nasali sana nisingechomoka (maana hata sielewi nawakwepaje?)
 
Upo sahihi kabisa mkuu naunga hoja mkono.πŸ‘πŸ‘
 
Zunguuka kote ila kama tabia ya mwanamke ni kugawa haijalishi ni single mama, mtoto wa askofu / imamu au mke wa mtu lazima atagawa tu.

Sijazungumzia Jambo Moja.
Nimezungumzia mambo mengi Sana.

Fikiria huna mtoto,umeoa single Mother unatarajia mtoto wako WA Kwanza awe mtoto wa tatu. Yaani huna mzaliwa wa kwanza
 
Post yangu bora january
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…