Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #61
Singo mazazi jamani waliwakosea nini? Kwani walijitomba na kujizalisha wenyewe? Mbona chuki hivi dhidi yao kila siku hapa JF? Tatizo hasa ni nini? 😳
Ubinafsi unatusumbua wanaume, tunavyowazungumzia single maza utadhani sie hatuhusiki kuwatengeneza.Singo mazazi jamani waliwakosea nini? Kwani walijitomba na kujizalisha wenyewe? Mbona chuki hivi dhidi yao kila siku hapa JF? Tatizo hasa ni nini?
Post yangu bora january
Ubinafsi unatusumbua wanaume, tunavyowazungumzia single maza utadhani sie hatuhusiki kuwatengeneza.
Huu uzi ni mahsusi kwangu wakuu au..? 😁😁🙌🙌🙌🙌
Wanaume tumewafanya single maza wanawake wengi kwa sababu hatuwapendi, mfano mimi nimetengeneza single maza 2 ambao sikua na mpango wa kuwaoa, sasa hawa ukiwalaum ni kuwaonea bure tu.Wewe unaweza kumuacha mwanamke Bora?
Mkuu we acha tuu na mpaka ukiona huyu jamaa kaweka uzi jua kafanya uchambuzi yakinifu aiseeeeNilitaka nikutag kiongozi. Maana uzi wako niliuona. Haya akili kumkichwa.
Hakuna kanuni maalum kwa kweli.Unaweza usioe single maza ukaoa fresh kabisa ila ukachapiwa watoto wote na mwamba mwingine tu .
Kwenye mahusiano sijawahi kuona kanuni maalumu isiyokuwa na udhaifu ni kubeti tu mda mwingneHakuna kanuni maalum kwa kweli.
Nalyaga nkoyi. Aho namalūgūlya nūchima lyanikī lyamadako matale. Nilūmbaga sana.Ila olyaga ahene ubhugali?
Wanaume tumewafanya single maza wanawake wengi kwa sababu hatuwapendi, mfano mimi nimetengeneza single maza 2 ambao sikua na mpango wa kuwaoa, sasa hawa ukiwalaum ni kuwaonea bure tu.
Three suitors one husband, kila mtu aoe/aolewe nafsi yake ilipo penda
Huu mfumuko wa kila kijana akisha ota mavuz anaingia mtandaoni kutoa ushauri unapanda Kwa kasi
Hata usipo oa huyo single Maza , [emoji23][emoji23] kama mwanamke uliyemuoa Hana heshima na adabu atakufedhehesha zaid ya huyo single Maza Nina mashoga zangu walio kwenye ndoa zao na waliolewa vibint bila watoto ila wanachepuka mpaka mim najisikia aibu
Labda uyo mwanamke unayemtaka wewe ambaye Bora zaid ya single mama umuumbe mwenyewe kama robot Ili umcontrol
Wanaume hata tukitamani tunatabia ya kuwaaminisha by any means wanawake kua tunawapenda ili tutimize lengo letu.Wakati unalala nao uliwaambia wabebe Mimba?
Uliwaambia utawaoa?
Uchimaga ngenya?Nalyaga nkoyi. Aho namalūgūlya nūchima lyanikī lyamadako matale. Nilūmbaga sana.
Gīnehūbebe? Olyaga? Ochimaga? 😁👋
View attachment 3211207