Nasisitiza, kijana kama upo chini Miaka 40 usioe Single mother. Hilo huhitaji mjadala

[emoji3][emoji3] nakwede bhana haha una maneno bora achepuke kuliko kulea watoto wa mtu mwingine ambae hukuhusika ingali mwenye mtoto alimuacha na kumkimbia (hapa sihusishi wale ambao baba zao walifariki unfortunately kama kwa ajali and alike single maza wa aina hii hawana kosa)
 

Kimsingi Mwanaume ni mlezi ni mtawala hivyo anaweza kusimamia chochote na yoyote hata kama si damu yake. Mwanaume sio Mbinafsi na mchoyo kusema usioe mwanamke mwenye mtoto huo ni Ubinafsi wenye chembechembe hai za uchoyo. Ni bora zaidi kulea mtoto wa mke wako ambae nafsi yako imempokea na kumfanya wako, kuliko kulea mtoto unaedhani ni wako kumbe sio wako maana Siku utakapojua ukweli ndio utajua maanaya kulia na kusaga Meno Lakini pia lazima tutambue zipo sababu nyingi za Dada zetu kupata mimba, sio kila mmoja alikuwa Malaya au wahuni wengine waume zao wamefariki, wengine walikimbia Mateso, wengine waliachwa bila Makosa Kwaiyo ni muhimu kutambua kuwa kusema USIOE mwanamke mwenye mtoto ni Mtazamo Hasi sana Mwanamke akiamua unaweza kumlelea watoto hata kumi na wote wasiwe wako, kimsingi ni kutambua unaoa mtu wa aina Gani Mwanadamu hapimwi Kwa makosa ya zamani Bali kwa mambo ya wakati uliopo (huu ndio ukweli mwanamke humpenda na kumheshimu sana mwanaume anaetunza mtoto wake ambae hakuzaa nae)
 
Uko sahihi mkuu, mimi nilizalisha kipindi hicho cha ajabu hao wazazi wenzangu wananitafuta kila siku. Sasa sijui wanaishije na wanaume zao vip. Yaani wameolewa lakini bado wanataka mawasiliano
 
Dah!!
Hili suala limekaa vibaya kweli maana ni ngumu kumeza......

Tatizo vijana wakishaona makalio yanatikisika huwa hawashauriki.....

Mimi nikimuona kijana mbichi kaoa single mother naona kama anajipunja na kujidhurumu.......

Mwanamke anahitaji mwanaume aliyekomaa.
Sasa mwanamke akishakuwa single mother anahitaji mwanaume mtu mzima mwenye uwezo
 
Marrying a 33+ is like buying a newspaper by 6pm in the evening.

Marrying a single mother is like buying a newspaper 1 month after it has been published.

Remember bro: when you buy a used car, you will have to pay for the damages caused by previous users. It will cost you a lot.

Be wise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…