Nasisitiza, kijana kama upo chini Miaka 40 usioe Single mother. Hilo huhitaji mjadala

Nasisitiza, kijana kama upo chini Miaka 40 usioe Single mother. Hilo huhitaji mjadala

Ktk aina 3 za single maza, mada yako inazungumzia aina ipi zaidi?

1.alieachika
2.aliezalia home
3.mjane
Mi nadhani kaongelea namba 1 na 3,, maana namba 2 haifai hata kumuita single mother,,maana hakua rasmi kindoa na wengi wao baba wa mtoto huwa hawamjui au anamjua lakini kamwe hatojitokeza hadharani kwake binti,,huyu pia si hajabu akawa bikra,safi kabisa afaaye kuelewa.
 
Kwema Wakuu!

Nafahamu Nina rafiki zangu wakike waliosingle mothers.
Ninajua wapo dada zangu wakike single mother
Na ninajua wapo watoto wakike huenda wakawa single mother.
Lakini hii haitanifanya nisiseme Jambo hili.

Kama Una Miaka chini ya arobaini yaani ni kijana. Mimi kama Taikon Master, na Kaka zako wenye Akili, na Baba zako wenye HEKIMA tunakushauri kamwe usifikirie kuoa single mother.

Usioe Single mother hasa ukiwa Kijana chini ya miaka 40.

Huna sababu hata Moja ya maana ya kuoa single mother.
Ni kweli mapenzi ni upofu lakini haimaanishi uwe mpumbavu.

Kuna mambo unatakiwa uyaelewe kuhusu single mother

1. Kama asingekuwa single mother ni hakika asingekuwa na wewe. Hiyo ni hakika

2. Ni hakika kuwa, wewe tayari ni Step Dad, baba wa Kambo. Hakunaga faida hata Moja utakayoipata kwa kuwa step dad. Ukibisha, nenda tafuta mtu mzima unayemheshimu Sana na aliyefanikiwa Sana. Mwenye AKILI. Muulize kuna faida ya kuwa step Dad. Atakupa Majibu.

3. Kijana mdogo unapooa single mother ni dalili ya kutojiamini, kutojitambua na kujidharua. Wakwanza atakayekudharau ni Mamaako aliyekuzaa hata kama naye alikuwa single mother.
Elewa, ikiwa kijana kuoa mwanamke Mkubwa kuliko yeye kwake inaonekana amejidharau sembuse kuoa single mother.

4. Joto la jiwe kutoka kwa single mother utaanza kuliona mkishazoeana
Elewa, mwanamke hata awe hajaenda shule au awe mjinga kiasi gani. Lakini naturally anauwezo wa kukusoma na kukujua ikoje.
Wakati wewe huna hili wala lile unahangaika kumhudumia Mkeo ambaye ni single mother kwa upendo wote yeye Muda huo anautumia kukusoma ulivyo.
Ndani ya Miaka miwili mitatu tayari atakuwa amekujua vilivyo.

Kipindi mkishazoeana na ashakujua ukiwa huna hili wala lile. Ndio ataanza kukumbuka maisha yake ya nyuma. Atakumbuka marafiki zake. Na mwishowe atamkumbuka Yule Mwanaume aliyekuwa anampenda ambaye mara nyingi ndio wanaowazalishaga watoto wa Kwanza.
Hatakumbuka ubaya wake kama alivyokuhadithia wewe.

Hatimaye, kimyakimya anaanzisha mawasiliano ya Siri na mzazi mwenziye bila ya wewe Kujua.
Kumbuka hapa atakuwa Hana Hofu kwa Sababu ni Kama Nyani aliyerudishwa kwenye Pori analolijua.
Kisosholojia, hapo ni Njia anayoirudia anaijua fika kwa Sababu ndio aliyoijia.

Asije akakudanganya hawawasiliani.

Ukitaka kujua Jambo hilo. Tafuta ndugu yako yoyote ambaye alizaa na mwanamke Fulani. Muulize anawasiliana na shemeji. Utapata Majibu.

5. Kumbuka, asilimia tisini wanawake wenye watoto wao ndio huwatafuta wazazi wenza lakini wewe hutojua.

6. Kumbuka asilimia tisini ya single mother huingia kwenye mahusiano mapya kama project ya Kupata sehemu ya kukuza na kuwalea watoto wao. Na sio sababu ya Mapenzi au kujenga Familia.

7. Elewa, hata ufanye nini mtoto wa single mother hatakuja kuwa Wako Maisha.

8. Elewa, utakapogusa maslahi ya mtoto wa single mother utakuwa umejimaliza mwenyewe. Utakuwa umejiingiza kwenye shida.

9. Itakupasa mtoto wa single mother ambaye sio wako awe na furaha ili nawe uwe na furaha.

10. Single mother ukimuoa anakuchukulia kama haukuwa na option nyingine zaidi na uzuri wake ndio uliochangia kukupumbaza. Hivyo atakudharau tuu.
Jambo ambalo ni Kweli Kabisa.
Yaani uache watoto wabichi, vibinti chuchu konzi alafu utegemee single mother uliyemuoa akuheshimu.

Elewa, mwanamke uliyemuoa ni sehemu mambo yanayokujengea heshima kwenye jamii au mahali popote pale.

11. Kuoa single mother kutapelekea watoto wako utakaowazaa wawe wapili , watatu kuendelea kwa mama husika Jambo ambalo litakufanya ukose mzaliwa wa Kwanza.

Elewa, mzaliwa wa Kwanza anatokana na mwanamke kuzaa kwa mara ya Kwanza.
Huwezi mzalisha mwanamke single mother alafu huyo mtoto ukamuita mzaliwa wa Kwanza.

Usiwe wale wanaume mabwege ambao hupumbazwa na Maneno ya Wanawake wakipewa sifa za kijinga.
Mara mwanaume wa kweli lazima atoe Pesa. Na majianaume mabwege hujikuta yakiwa matumwa na misukule ya wanawake.
Mara hudumia tuu mtoto single mother ndio uanaume huo sijui ukipenda boga penda na ua lake. Ubwege bwege tuu. Baba wa mtoto yupo. Mpelekeeni Babaake akamtunze mtoto

Unandugu kibao Maskini, wasaidie hao.
Watoto wa dada au Kaka zako, hizo pesa saidia wazazi wako.
Jijenge mwenyewe au kale Raha na sio uingizwe ujinga ujinga kama lijinga. Unazidiwa akili Mpaka na Wanyama bhana.

Shenzi!

Ngoja nipumzike
 
Wewe unachukia wanawake tunakujua, single mothers or not tunakujua topics zako
Mkuu mbona kila mtu anaekosoa au kutoa pendekezo la mahusiano unamuonaga mchukia wanawake?? Hivi hamnaga ukweli wowote kwenye hizi mada unaong'amua?? Hupendi ushauri mkuu au pengne lugha inatumika kali unavoona
 
ujue hadi kawa single mother ujue kuna mtu kamzalisha na kumwacha,hajajipa mimba mwenyewe ss wote tukiowa ambao sio single mother hawa masingle mother wataolewa na nani? Cha msingi ungesema usimzalize binti wa watu kama hamuowi,ili kupunguza wimbi la masingle mother, angalia chanzo cha tatizo na sio tatizo, masingle mother popote mlipo big up mnajielewa sn na kuteleza sio kuanguka!
 
Profile ziko peculiar kila mwanamke anapozungumziwa negatively utawaona, is sick to watch iwe ukweli or not
 
Wewe unachukia wanawake tunakujua, single mothers or not tunakujua topics zako

Wanawake wenye Akili mgando, wahovyo,wasiotaka ukweli lazima wawe na maoni kama yako.

Bahati Njema huwaga hawanipi shida, hawana athari kwangu
 
Robert Heriel Mtibeli ikiwa mwanaume una watoto 4, unaruhusiwa kumuoa single mother..

Huyo single mother ana mtoto mdogo wa miaka 2.6, baba mtoto hayupo kabisa kwenye maisha yake, na endapo mwanaume utakubali basi huyo mtoto anakuwa wako 100%.

Huyo single maza anafaa au hafai bwana mkubwa.

Mtoto hawezi kuwa Wako wewe.
Mtoto wako ni Yule uliyemzaa wewe, kamwe usije ukajichanganya.

Kama unatoa msaada au unasaidia watu usisahau position yako.
Kumlea mtu hakukufanyi mtu huyo awe mwanao
Mtoto ni Yule uliyemzaa

Kuhusu kuoa single mother huo ni uamuzi wa Mtu Mkuu.
Mengine yote ni ushauri tuu kutokana na yaliyopo kwenye jamii
 
ujue hadi kawa single mother ujue kuna mtu kamzalisha na kumwacha,hajajipa mimba mwenyewe ss wote tukiowa ambao sio single mother hawa masingle mother wataolewa na nani? Cha msingi ungesema usimzalize binti wa watu kama hamuowi,ili kupunguza wimbi la masingle mother, angalia chanzo cha tatizo na sio tatizo, masingle mother popote mlipo big up mnajielewa sn na kuteleza sio kuanguka!

Unaweza ukamuoa na mkaachana.
Single mothers sio lazima awe hakuolewa. Wapo ambao wametoka ndoani kwa Talaka.

Wapo Single mothers wanaojielewa lakini ni 0.5 kwa Mia Moja
 
Hiyo inatokea lakini waulize waliooa Single mother watakuambia.

Kuoa single mother kuna matatizo mazito zaidi ya Hilo la kuchapiwa ambalo unafukuza tuu.

Sasa unakuta hauchapiwi lakini hizo kero za hapa na pale unazozipata ni Hatari tupu

Wewe si unawatoto, unawasiliana na Mama zao, huwezi Amini wanaume waliooa hao wanawake uliowazalisha wote kwa huyo mwanamke mnanafasi Sawa. Hasa kama alikuwa anakupenda au anamhudumia
Dah aysee! "Wote ni sawa" bitter true
 
Wanawake wenye Akili mgando, wahovyo,wasiotaka ukweli lazima wawe na maoni kama yako.

Bahati Njema huwaga hawanipi shida, hawana athari kwangu
Hata wewe hautupi shida, uko messed up kichwani, wanaokusikiliza ni watu wenye akili mgando kama wewe, watu wanaojidai wanawajua wanawake yet background zao na wanawake ni maumivu tupu right from their mothers!,,,, mama yako aliyekuzaa humpendi ndio itakuwa mwanamke mwingine..?... msonyoooo!
 
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂 Nmechekaa eti msonyoooo
 
Hata wewe hautupi shida, uko messed up kichwani, wanaokusikiliza ni watu wenye akili mgando kama wewe, watu wanaojidai wanawajua wanawake yet background zao na wanawake ni maumivu tupu right from their mothers!,,,, mama yako aliyekuzaa humpendi ndio itakuwa mwanamke mwingine..?... msonyoooo!

Wenye huu mtandao ambao ukoo wenu wote mkae hamwezi kuubuni na kuundesha, mwaka Jana wamenipa tuzo kwamba wanajua kile nikisemacho. Kama hao wanaakili mgando Sawa.

Mtu kuwa mamaangu/ako, mama wa watoto wangu, Mama WA wajukuu, haimaanishi akifanya ujinga ati ndio usisemwe.

Kwamba nikatae kuwa Single mothers sio Jambo mtambuka Kisa Mama mzazi au mama mkwe au Mamaako ni single mother?
Akili mgando bhana
 
Kuna mambo wanaume wengi hawayaelewi kuhusu Wanawake.
Ikiwa mwanamke tuu asiye na mtoto kumwoa na Kuishi naye ni kasheshe sembuse mwanamke mwenye mtoto asiyewako?

Nenda kwa Mama, mama zako Wakubwa na wadogo, shangazi zako, Bibi zako, kachukue Maoni Yao kuhusu wewe kuoa single mother wao watakuambia Ukweli wote.

Sisi wa huku mitandaoni tunaweza kukuchanganya
Kuna siku ndugu yangu aliingia kwenye mazungumzo akawa kama ana beep akamwambia mama yake "hivi mama mtu akioa single mother imekaaje" mama Yake alimwambia ishia hapo hapo au umeshalogwa?

Bitter true mwanamke aliyezalishwa soko lake limekwenda na maji
 
Wenye huu mtandao ambao ukoo wenu wote mkae hamwezi kuubuni na kuundesha, mwaka Jana wamenipa tuzo kwamba wanajua kile nikisemacho. Kama hao wanaakili mgando Sawa.

Mtu kuwa mamaangu/ako, mama wa watoto wangu, Mama WA wajukuu, haimaanishi akifanya ujinga ati ndio usisemwe.

Kwamba nikatae kuwa Single mothers sio Jambo mtambuka Kisa Mama mzazi au mama mkwe au Mamaako ni single mother?
Akili mgando bhana
Akili mgando mama 'ako!

Eti wanajua usemacho, una uhakika gani?...kukupa wewe narcissist tuzo is soo wrong, more likely walikuwa hawajui wafanyacho! And yes aliyekupa tuzo wewe punguwani ana walakini na yeye...wewe mbwa koko unapata gratification kuleta mada ambazo wanawake wenye akili wanapata ukakasi kuchangia. Yeyote aliyekupa tuzo hakuwa observant kuwa una damage wanawake emotionally. AMA he didn't care damage unayofanya humu..ambapo wewe na yeye mnapata gratification kuumiza wanawake kisaikolojia...anyway umepata nini na hio tuzo endorsements au????? Sana sana wame encourage your narcissistic behaviour...kama ulidhani tutavumilia mashudu yako kisa umepata tuzo...think again idiot sisi sio huyo mkeo
 
Kama unachoongea ni kweli embu eleza ni Kwa namna gani post hii imeonyesha chuki kwa Wanawake.

1. Kwamba kwenye jamii zote duniani single mother sio tatizo?

2. Kwamba single mothers hawawasiliani na Wanaume waliozaa nao Jambo ambalo waume Zao inawapa kero na usumbufu Mkubwa?

3. Kwamba mtoto wa single mother sio wako kama hukumzaa wewe?

Kuhusu hayo maelezo yako mengine yapo juu yako MWENYEWE na ukoo wenu na watoto wenu.

Ukizaa watoto wako waambie kuwa Single mother ni Jambo jema na linalokubqlikq kwenye jamii. Lakini humu na sehemu zingine wataendelea kusema Maneno hayahaya Mpaka kiama.
 
lakini huko mbeleni,kama hutaki single maza basi kuoa hutaweza tena maana kuzaa sasa ni simple tu,yaan kama fasheniiii,katoto kadoogo shwaaa tayar,sasa hadi kufikia umri wa kuolewa..........

kwanza mtuache tuzae kabla p2 hazijaozesha vizazi tuje tulie upweke huko miaka 30, wanaume waaminifu tukose,sasa na hata watoto jamaniiiii aaaah msitufanyie ivoooo.....
 
Kama unachoongea ni kweli embu eleza ni Kwa namna gani post hii imeonyesha chuki kwa Wanawake.

1. Kwamba kwenye jamii zote duniani single mother sio tatizo?

2. Kwamba single mothers hawawasiliani na Wanaume waliozaa nao Jambo ambalo waume Zao inawapa kero na usumbufu Mkubwa?

3. Kwamba mtoto wa single mother sio wako kama hukumzaa wewe?

Kuhusu hayo maelezo yako mengine yapo juu yako MWENYEWE na ukoo wenu na watoto wenu.

Ukizaa watoto wako waambie kuwa Single mother ni Jambo jema na linalokubqlikq kwenye jamii. Lakini humu na sehemu zingine wataendelea kusema Maneno hayahaya Mpaka kiama.
Hahaaa eti humu wataendelea kusema mpaka kiama, sema wewe narcissistic idiot ndio utaendelea kusema na wajinga wenzio mnaoshare character ndio mtaendelea kupayuka humu.....nyooo huoni hii post inavyoleta chuki kwa Wanawake, vaa miwani utaona pumbafu! By the way sijasema hili kutokana na hii topic peke yake sijajiunga JF jana kujua wewe mpuuzi ukileta topic kuhusu wanawake ujue ni ya kuwaumiza tu.......unaongelea single mothers mpumbavu wewe tangia uanze vita na single mothers wewe BINAFSI umeachieve nini ukiulizwa???..single mothers wamepungua???? Hawajaolewa??? Toa STATISTICS zako...?! Nakuuliza u QUANTIFY ulichoachieve humu....the answer is umeachieve NOTHING which means mashudu yako kuhusu wanawake single mothers, ni njia ya wewe na narcissistic idiots wenzio kupata gratification mbwa nyie.
 
Back
Top Bottom