Nasoma Business law, simuelewi vizuri mwalimu naomba nisaidiwe baadhi ya maswali

Hii bundle umeingia nayo si ungetumia kugoogle tu na majibu ungepata kirahisi, mbna umetumia njia ndefu sana kutafuta majibu yako ??
 
Damn[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada kaingia cha kike

Hayo makombora huko juu yanalenga pale pale kwenye mshono[emoji23]

Akikaa hivi nchale, akigeuka nchale
Nahis hapo ashachukia kuanzia somo, JF na chuo kwa ujumla[emoji23][emoji23][emoji23]
 


Kuna vitabu vingi sana kwenye mitandao. Kama mewe ni mwanafunzi achana na hii mitandao tumia muda zaidi kusoma kuna vitabu vya bure online!
 
Ushog* hauwezi kuisha kwa style hii [emoji848]
 
Kuna vitabu vingi sana kwenye mitandao. Kama mewe ni mwanafunzi achana na hii mitandao tumia muda zaidi kusoma kuna vitabu vya bure online!
Uwe makini na vitabu vya mitandaoni vingine vimepitwa na wakati

Mfano shule nyingi zinazoongoza kitaifa sekondari hasa za katoliki hukataza kabisa mwanafunzi kwenda kusoma tuition za mitaani likizo wanajiamini elimu waliyowapa hawataki kabisa mtoto asome Tuition yeyote likizo sababu hujiamini ufundishaji na kuwa wako current ki syllabus nk hawataki watoto wajaze mchanganyiko kichwani

Tuition mwalimu aweza kuwa hata form form failure anaokota vitu Internet vilivyopitwa na wakati na kuwapa wanafunzi mtihani wa taifa ukija wanafeli

Internet sio mbadala wa Mwalimu au lecture hata siku moja
 
Dogo anataka tumfanyie individual assignment yake kizembe tu
 
Mimi sijawah kusoma Law ila hiyo course ya Business Law nilifaulu kwa B+ tena hapo nilikua sihudhurii vipindi nipo bize na maisha familia na kutafuta pesa, nilijisomea pekeangu kwa ku Google... Wewe inaonekana kijana mdogo sana ila huwezi kujiongeza hata ku Google..? YouTube? Group Discussion...?
Vijana wa sikuhiz mpo chuo na hamjui mnachokitaka na mnachokisomea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…