Nasoma Business law, simuelewi vizuri mwalimu naomba nisaidiwe baadhi ya maswali


Ndiyo maana ya mitandao kuna mazuri na mabaya lakini kama mwanafunzi unatakiwa kufanya uchunguzi huo na ni rahisi kuliko kwenda kutafuta vitabu Library ambavyo vingi ni vya zamani sana
 
Ndiyo maana ya mitandao kuna mazuri na mabaya lakini kama mwanafunzi unatakiwa kufanya uchunguzi huo na ni rahisi kuliko kwenda kutafuta vitabu Library ambavyo vingi ni vya zamani sana
Mwanafunzi labda wa digrii ya Pili na PhD first degree au sekondari sidhani sana upeo wake mdogo mno

Anatakiwa kuwa dependent sana na material za mwalimu au lectures

Huko Internet sijui Wikipedia au kokote kuingia chaka porini kitu kidogo sana

Akae darasani a pay attention vizuri kwa mwalimu au lecturer akili yake isiwaze Internet
 
Nimejaribu kukuwekea vitabu na Sheria naona nimeshindwa sijajua kuna shida gani...

kama unaccess ya Telegram nitafute my code hii hapa๐Ÿ‘‡nikutumie vitabu vitakusaidia
 
Hahaaaa usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Wewe baki kua na uhohehahe wako tu. Maneno kidogo unashusha risala kwani nilikwambia mimi ni mgeni rasmi[emoji848]
 
Hivi ndio ilipaswa kumuelekeza maana kila mtu google google wakati hiyo google ni GIGO. Bora hata aliuliza wakubwa zake humu
 
Hapa ndo ninaona umuhimu wa kiswahili au kingereza kitumike kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu.Sijasoma Law ila lugha inanifanya kuwa na idea promise yaani ni tayari proposal imekubaliwa ,offer ni kabla ya kuwa promise yaani inaweza kukataliwa au kukubaliwa.
 
Mtafute piem tusije tukampoteza[emoji23][emoji23][emoji23]
Hasira zake zote atamalizia kwangu,yale makombora aliyopigwa sio poa ujue[emoji28]

Imagine mtu anakwambia elimu ishakushinda wewe ilibidi uwe muuza mayai barabarani,au mpiga debe [emoji23][emoji23][emoji119]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 

Ndio maana nakwambia mtafute uokoe jahazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Usikute kashaacha chuo tayari
Sijui atawaambia nini wazazi

Unakuta saiv yuko makumbusho anauza simu used as new kutoka dubei[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hahaaaa usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Wewe baki kua na uhohehahe wako tu. Maneno kidogo unashusha risala kwani nilikwambia mimi ni mgeni rasmi[emoji848]
TENA MIMI NI HOHEHAHE NGURI! ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ‘๐Ÿพ
 
Angekua mwanao ungeropoka hivyo? Kwani china kitu gani mfyuuuuuu
Tena asiombe kuwa mwanangu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Mtoto anavyojengwa anakuwa kwa kufuata nyayo, misingi na protokali zilezile kama hujui๐Ÿ˜Š

Mwalimu wa wanawake ni kipofu. Huwezi kuelewa
 
Daah...Aiseee
Lakini hata mimi nilikutana nayo kwenye Engineering, first year
Mambo ya Tort Law is the civil wrong, na kukutana na kesi ya snail in the bottle "Donoghue vs Stevenson"

Lakini mmemshabulia sana kijana wa watu.
 

The contract was Void or Voidable[emoji1787]

Nlkuwa naenda na gut feeling
 

Kwahiyo ujumbe wa hapa ni kufanya marketing ya Covenant na Goodhope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ