Uwe makini na vitabu vya mitandaoni vingine vimepitwa na wakati
Mfano shule nyingi zinazoongoza kitaifa sekondari hasa za katoliki hukataza kabisa mwanafunzi kwenda kusoma tuition za mitaani likizo wanajiamini elimu waliyowapa hawataki kabisa mtoto asome Tuition yeyote likizo sababu hujiamini ufundishaji na kuwa wako current ki syllabus nk hawataki watoto wajaze mchanganyiko kichwani
Tuition mwalimu aweza kuwa hata form form failure anaokota vitu Internet vilivyopitwa na wakati na kuwapa wanafunzi mtihani wa taifa ukija wanafeli
Internet sio mbadala wa Mwalimu au lecture hata siku moja
Ndiyo maana ya mitandao kuna mazuri na mabaya lakini kama mwanafunzi unatakiwa kufanya uchunguzi huo na ni rahisi kuliko kwenda kutafuta vitabu Library ambavyo vingi ni vya zamani sana