- Thread starter
- #221
Ibane baneeee, mwisho iliwe na nyenyere....
[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ibane baneeee, mwisho iliwe na nyenyere....
Wekuma usinizoee zoea wengine sio Mimi
Pole kwa kumiliki CHUMA CHAKAVU; unauzaje kwa kilo?
Wekuma usinizoee zoea wengine sio Mimi
Usinizoee kumawewe zoea wengine sio Mimi
Unatoka wapi na kwenda wapi hiyo safari ndefu?My kutokuwa bikira haina maana ndio nivuevue chupi ndugu bado nina safari ndefu
Unatoka wapi na kwenda wapi hiyo safari ndefu?
Hata yeye atajiuliza kuwa kwanini umbanie au unataka kumwingiza mkenge asigundue labdaMy kutokuwa bikira haina maana ndio nivuevue chupi ndugu bado nina safari ndefu
kwendraaahNina mahusiano mapya na huyo Kijana miezi kama 6 hivi
Sijawah kunyanduana nae na sijawah kumuomba hela kifupi hatujawahi kupeana chochote zaidii ya maneno matupu
Huyo kijana mimi nampenda na ningetamani awe mume hapo baadae Kama Mungu akipenda
Sasa ni hivi anakuja huku nilipo kama unavojua lazima atake papuchi maana anakuja kwa ajili yangu
Nipeni mbinu ya kumkataa nisilale nae yaani nisifanye nae sex… ni hivi sitaki kusex nae kwa sasa na wala sitaki pesa yake yote ni kwa kuwa sina uhakika kama tutaoana sasa kuvulia vulia wanaume chupi sitaki
Yaani nasubirii awe mume ndio nimpe tunda
Ushaurii tafadhari namna ya kumkacha
Ukiwaza kuachwa utawaogopa wanaume.Mmh je akinila aniache na sijala pesa ake
Usinizoee kumawewe zoea wengine unanizoeazoea sitaki mazoea ya kisengesenge kumamamako
kwendraaah
mwandiko wa dume huu.
wapi uliona demu haombi maokoto
Ukiwaza kuachwa utawaogopa wanaume.
Vipi akikuoa then akakuacha je
Hata yeye atajiuliza kuwa kwanini umbanie au unataka kumwingiza mkenge asigundue labda
1. kitumbua kilishakatwa antena au
2. Unakitembeza sana kina gono pro max plus vipepe yaani kibaya baya tu. Au
3.Kinaharufu kali zaidi ya shombo la samaki. Au
4. Ni bwawa la kambale halina utamu.
Hapo utakula block na hutamuona tena.
Kwani una mpango wa kumuuzia? Yaani wanwake wakisasa hovyooooooo!!!!!Asa sijamuomba hela
Upumbavu wake jumlisha na upumbavu mingine ndio kujaza server. Halafu hizi sio sms kumbuka huku kuna kuweka video, pics n.k kwahy lazima zichukue nafasi kubwaNyie mnaosema kujasa server mnajua meseji ina kb ngapi? au mnazani zina MB.
Kwani una mpango wa kumuuzia? Yaani wanwake wakisasa hovyooooooo!!!!!
We Jhidanganye ,oghopa ,ni khatari ,mwanamme kamili hawezi kukaa muda wote huo! atakuwa siyo mzima au anasuza rungu pengine.
Sasa kama unauzaga kuna haja gani ya kuja kuomba ushauri huku. Mpe kipwinto halafu mwelezee shida zako kama hutaki kiomba direct.Hahahaha hakuna cha bure