Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Kama jamaa kaleta posa then kakuvalisha pete ya uchumba na mahari amelipa mpe mzigo huo tena kiuno ukizungushe vzuri! La siivyo hakuna ndoa hapo.
 
Ona akili ya mwanamke.
Amegawa kwa wahuni wengi tu, right person hapewi.
Huyo jamaa atakupiga chini amuoe rafiki yako wa karibu.
Wanaume wa Sasa hawaoi bila kukagua Mali. Hatutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Upumbavu wake jumlisha na upumbavu mingine ndio kujaza server. Halafu hizi sio sms kumbuka huku kuna kuweka video, pics n.k kwahy lazima zichukue nafasi kubwa
MKUU DUNIA YOTE YOTE INAENDESHWA NA UPUMBAVU HAMNA CHA MAANA. JARIBU SIKU MOJA CHAGUA CHANNEL YA TV UITAZAME ASUBUHI MPAKA USIKU UTAELEWA.
 
Km una bikra sawa, kwa hiyo unataka kuendelea kunyanduliwa huko wa ndoa ataka kiu wapi
 
Kama sio bikra toa huo uchakavu haraka
 
Yaani wanaume sijui mpoje yaani kwamba inamaana kwamba kama sina bikra ndio iwe tiketi ya kumpa kila ataeomba sasa nikifanya hivyo si nitajaza kijiji
Wewe thamani yako ilishaisha siku umetolewa Bk yako bila kuolewa
 
Kama hujawahi nyanduliwa usimpe hadi akuoe, ila kama umewahi nyanduliwa kwa chips na hukuolewa, basi haina maana, we mpe tu.
 
Kama sio bikra mpe hiyo k aichakate, haijalishi umevulia wangapi, K kitu gani bwana.??????

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Kuna tatizo unaliandaa wewe mwenyewe badae likaja kukutesa kwenye hiyo ndoa ukarudi hapa hapa kuomba tena ushauri.
 
HUTAKI KUMPA KIJANA MWANZIO,
UNAMPA YULE MUME WA MWENZIO.... BISHA
 
Wakati unasubiria akuoe akiwa na hamu ataenda kuzimalizia wapi??
 
mwenzenu ashaliwa sana kisha kuachwa, au utaolewa kisha siku ya kwanza tu utaachwa
sasa kwa hili hapa utaachwa bila kuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…