Labda una hoja lakini utasubiri sana kwa mtindo huo.Siyo sijiamini dear mambo yamebadilika siku hizi mtu anakudanganya anakupendaa kumbe ana upwiru akipiga anapita hivi sasa ndugu nitatifuliwatifuliwa na kila mwanaume?
Ni hivi, hakuna mwanamke anakubali moja kwa moja kwamba anatoa penzi.
Kwa uzoefu wangu ni kwamba huyo jamaa anaenda kupewa penzi na huyu mwanamke.
Akae sehemu nyingine Sio kwakoSawa… anakuja kukaa week na yeye ni mgeni huku nilipo mimi ndio mwenyej wake
Labda una hoja lakini utasubiri sana kwa mtindo huo.
Halafu nikwambie tu kwamba mwanaume anayekupenda utamjua tu maana na wewe utafeel kumpenda.
Tatizo unasubiri upendwe..wewe hutaki kupenda?
Utafikisha 30 ndo uanze kusema nataka mwanaume yoyote yule sichagui.
Akae sehemu nyingine Sio kwako
Some stories have to be written because no one would believe the absurdity of it all....🤣Nina mahusiano mapya na huyo Kijana miezi kama 6 hivi
Sijawah kunyanduana nae na sijawah kumuomba hela kifupi hatujawahi kupeana chochote zaidii ya maneno matupu
Huyo kijana mimi nampenda na ningetamani awe mume hapo baadae Kama Mungu akipenda
Sasa ni hivi anakuja huku nilipo Kama unavojua lazima atake papuchi maana anakuja kwaajili yangu
Nipeni mbinu ya kumkataa nisilale nae yaani nisifanye nae sex… ni hivi sitaki kusex nae kwa sasa na wala sitaki pesa yake yote ni kwa kuwa Sina uhakika Kama tutaoana sasa kuvulia vulia wanaume chupi sitaki
Yaani nasubirii awe mume ndio niMpe tunda
Ushaurii tafadhar namna ya kumkacha
Na usiende huko hotel room mkutane Sehemu za meal tuAtakaa hotel my
Kama kweli wewe ni mwanamke, basi jamaa anakukula. Hapa unatusanifu tu!
Na usiende huko hotel room mkutane Sehemu za meal tu
TundiHivi ni tunda au Tundu?
Some stories have to be written because no one would believe the absurdity of it all....[emoji1787]
Acha kumtesa mwanaume mwenzetu toa mzigo yaani mtu anachoma nauli rombo imesimama kumbe wewe unawaza kumkimbia.Nina mahusiano mapya na huyo Kijana miezi kama 6 hivi
Sijawah kunyanduana nae na sijawah kumuomba hela kifupi hatujawahi kupeana chochote zaidii ya maneno matupu
Huyo kijana mimi nampenda na ningetamani awe mume hapo baadae Kama Mungu akipenda
Sasa ni hivi anakuja huku nilipo Kama unavojua lazima atake papuchi maana anakuja kwaajili yangu
Nipeni mbinu ya kumkataa nisilale nae yaani nisifanye nae sex… ni hivi sitaki kusex nae kwa sasa na wala sitaki pesa yake yote ni kwa kuwa Sina uhakika Kama tutaoana sasa kuvulia vulia wanaume chupi sitaki
Yaani nasubirii awe mume ndio niMpe tunda
Ushaurii tafadhar namna ya kumkacha
Kama anakuja kwa ajili yako, na wewe huna mpango wa kumpa papuchi, mwambie asije!My mimi ni mtu mmoja mgumu sana kuvua kyupi labda tu niwe na upwiru bila hivyo my huwezi hata kunusa punani yang
Maxence Melo unaona watu wanavyodhalilisha mabint8? ni sawa hii?
Kama anakuja kwa ajili yako, na wewe huna mpango wa kumpa papuchi, mwambie asije!
Naongea kwa uchungu maana kuna demu nilishawahi kumfungia safari kutoka arusha mpaka dar halafu nafika dar demu hatokei. Aisee nilikaribia kupata heart attack kile kipindi we acha tu.
Kama wewe hujui kupenda utasubiri sana mtu akupende. Itakuwa hupendeki..Daah labda hapo kwenye mimi kusubiri kupendwa ndio umepiga kwa mshono… nahisi sijawah kupenda na ukweli natafutaga mtu wa kunipenda sio mimi nimpende
Hii nzuri nimeipenda 😂My achana nae hapo alipo ana stress nguvu za kiume hana na pesa hana kwaiyo anajaribu kujifariji kupitia kuwadhalilisha wanawake
Acha kumtesa mwanaume mwenzetu toa mzigo yaani mtu anachoma nauli rombo imesimama kumbe wewe unawaza kumkimbia.
Hii nzuri nimeipenda [emoji23]
Kama wewe hujui kupenda utasubiri sana mtu akupende. Itakuwa hupendeki..