Halafu wanaume huangalia vitu vingi sio sex tu.
Unapoanza kumpa vikwazo msubiri baada ya ndoa ataanza kufikiria huyu anaficha nini..
Mwanaume akujue hata mwili wako unafananaje, harufu yako ipoje..
Sasa mnakutana baada ya ndoa unamuona mwenzako ana harufu kama beberu..my friend..utajua hujui
Utajuaje kama anayo hiyo ndogo bila kuiona? Utakutana na mkono wa tembo utoke mbio
Sasa mapenzi gani hayo?? Hutaki hela yake wala hutaki kunyanduana,,, wewe hujielewi. Kunyanduana ni muhimu kabla ya kuona. Lazima kutest mitambo, mpe tunda acha ushamba. Na usirudi tena kuomba ushauri wa kipuuzi kama huu hapa, kuna mambo ya muhimu ya kujadili humu JF.
Bora utoe maana unagoma sasa hivi halafu amekuoa ndio mnaanza kusema hakufishi bora kujuana mapema
Upo sahihi kbsaaSiyo sijiamini dear mambo yamebadilika siku hizi mtu anakudanganya anakupendaa kumbe ana upwiru akipiga anapita hivi sasa ndugu nitatifuliwatifuliwa na kila mwanaume?
utamkwaza sana na anaweza badili gia angani,Nina mahusiano mapya na huyo Kijana miezi kama 6 hivi
Sijawah kunyanduana nae na sijawah kumuomba hela kifupi hatujawahi kupeana chochote zaidii ya maneno matupu
Huyo kijana mimi nampenda na ningetamani awe mume hapo baadae Kama Mungu akipenda
Sasa ni hivi anakuja huku nilipo Kama unavojua lazima atake papuchi maana anakuja kwaajili yangu
Nipeni mbinu ya kumkataa nisilale nae yaani nisifanye nae sex… ni hivi sitaki kusex nae kwa sasa na wala sitaki pesa yake yote ni kwa kuwa Sina uhakika Kama tutaoana sasa kuvulia vulia wanaume chupi sitaki
Yaani nasubirii awe mume ndio niMpe tunda
Ushaurii tafadhar namna ya kumkacha
Unamnyimaje mtu kitu na unacho. Ni uchoyo uliopitiliza
Umenikumbusha mkasa mmojaUtajuaje kama anayo hiyo ndogo bila kuiona? Utakutana na mkono wa tembo utoke mbio
utamkwaza sana na anaweza badili gia angani,
hivi unajua ndoa ni jumla ya yale mahitaji yote muhimu ambayo nyinyi wawili wanandoa watarajiwa mmethibitishiana na mmedhihirishiana kiroho na kimwili, kwa maneno na matendo kwamba kila moja kairdhika na alivyo mwenzie licha ya dosari na madhaifu ya kiroho na kimwili ya kibinadamu yaliopo?
ile ya kule kanisani na mahali pengine ni kudhihirisha tu kwa wazazi na kwa jamii kwamba sasa mtakua mnaishi pamoja ile ahabari ya kukutana kwa kificho hakuna tena....
ni kama dhambi ya uzinzi tu unaitenda kwanza moyoni halafu mkifika kule gest house kwenye vitendo ni kuithibitisha tu na kuigonga muhuri...
"zingatia kiroho na kimwili"
Haya nenda kasome uzi wake mwingine ndipo ujue huyo unayemtetea ni mpumbavu afu uje unambie umemuelewa vp huyu mwenzakoMaxence Melo unaona watu wanavyodhalilisha mabint8? ni sawa hii?
Kwani wewe shida yako nini wewe nenda ukagongwe tu usituchoshe hapa inzi unamnyima kidonda una akili wewe?Aya nipe mbwinu ya kuepukana na mimbaa
Daa mbona kama Mim isee.... Maana nina miadi ya kuja Dsm kwa dada mmoja.. Na lengo ni tunda... Kwa handle yako ni wew kabisaa.Mmmh anatoka subwawanga mkuu mpk Dar nimuwekee tomato si bora nimwambie asije
Kwani kasemaje hapo hadi unamchongea?Maxence Melo unaona watu wanavyodhalilisha mabint8? ni sawa hii?
We nenda kamgonge tu na ukishamaliza kumgonga ndio akili zinarudi unaona Bora hata usingemgonga ungefanya shughuli zingine tu maana umeingiza dushe kwenye Jaba unaonekana una kibamiaDaa mbona kama Mim isee.... Maana nina miadi ya kuja Dsm kwa dada mmoja.. Na lengo ni tunda... Kwa handle yako ni wew kabisaa.
Najua tumeongea mengi kuhusu biashara ila mbususu inanisukuma zaid kuja mwisho wa Mwezi huu
Haya nenda kasome uzi wake mwingine ndipo ujue huyo unayemtetea ni mpumbavu afu uje unambie umemuelewa vp huyu mwenzako
Kwani wewe shida yako nini wewe nenda ukagongwe tu usituchoshe hapa inzi unamnyima kidonda una akili wewe?
Daa mbona kama Mim isee.... Maana nina miadi ya kuja Dsm kwa dada mmoja.. Na lengo ni tunda... Kwa handle yako ni wew kabisaa.
Najua tumeongea mengi kuhusu biashara ila mbususu inanisukuma zaid kuja mwisho wa Mwezi huu
Kumbe unajua umeandika upumbavu 😂 safiWewe nae umeganda kwenye nyuzi zangu kwani huoni zingine huko unang’ang’ania upumbavu
Nimegundua unapenda mambo ya kipumbavu ndio maana umeganda humu