Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Daa mbona kama Mim isee.... Maana nina miadi ya kuja Dsm kwa dada mmoja.. Na lengo ni tunda... Kwa handle yako ni wew kabisaa.
Najua tumeongea mengi kuhusu biashara ila mbususu inanisukuma zaid kuja mwisho wa Mwezi huu
Kama akiwa mtamu uje utupe mrejesho ili na sisi tumuunge mkono dada yetu kwenye hy biashara yake
 
Kama wewe ni bikira sawa usimpe ila kama siyo bikira basi ulisha vulia wanaume chupi sana tuu uko nyuma kwahiyo we endeleza tuu, mpeeee maana ni mpenzi wako sasa hivi kama ana kupenda Kweli sawa kama hakupendi Kweli ni sawa. Upendo wa mtu haupimwi kwa kumvulia chupi au kumnyima kitumbua.
 
Jambo moja nakushari na uzingatie.
Set akili yako siyo kwenye tendo Bali matendo yako, tabia yako inaweza kumshawishi mwanaume kuwa nawe maisha yake yote au kwa huo muda wa siku saba ataoa wewe hutastahili kuwa mama wa watoto wake. Fikiria mbali zaidi kuliko tendo lenyewe maana unaweza kutoa na bado tabia zako zisimshawishi mwanaume kwa maisha ya kudumu. Ona mbali.
 
Ha haaa
Na hii ndo itamtokea huyu mwenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…