Umenikumbusha mkasa mmoja
Kuna siku kuna Sista alikua anasimulia alikua na kibwana kimoja dereva wa Malori basi kipindi chote yapata Miezi 6 Jamaa alikua hajawahi kumgonga sasa huyo Sista akawa amemuomba Jamaa zawadi ya Simu, Jamaa akamwambia akirudi toka Zambia anamletea Simu watakutana sehemu basi siku zikasogea kweli siku ikafika Jamaa akarudi wakapanga wakutane 'Villa Hotel' Mawasiliano Simu 2000,
Kweli bibie akaenda mpaka Chumba Namba 10 wakawa wamepiga story za hapa na pale anampa zawadi yake ya Simu akafurahi sana Simu nzuri akaiset pale kila kitu wakatoka wakaenda kula chini tu pale kuna sehemu ya chakula baada ya kula wakapanda tena juu,
Sasa Sista akaenda kuoga akamaliza akarudi akamwambia Jamaa akaoge basi Jamaa akaenda kuoga aliporudi akarudi bila taulo Konga la Tembo 🍆 lipo nje nje tayari kwa shughuli
Sista ikabidi aishiwe pumzi na kuanza kumuomba Jamaa asimgonge,
Jamaa akamuuliza kwanini akasema lile Konga haliwezi ni kubwa sana basi Jamaa hakua na hiana akakubari hakufanya tamaa akasema Sawa basi tutalala hadi asubuhi bila kufanya chochote
Subiri inaendelea...