Nasumbuka sana wakuu mwenye kujua Tiba ya vidonda vya tumbo anijuze

Bahingaye

Member
Joined
Nov 5, 2017
Posts
58
Reaction score
106
Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au ameshatumia dawa amepona anifahamishe na mimi niondokane na hiii karaha, , nipo mwanza, natanguliza shukran kwa yeyote atakayenijuza
 
Wapo watu wengi sana,,
Wanaangaika na vidonga vya Tumbo
Lakini kwa utafiti wangu ,,
hata wewe hauna shida ya vidonda vya Tumbo
Nenda ukadili na gesi tumboni....
hiyo inayo kusumbua wewe ni gesi
Mkuu ni kweli mimi pia nna shida ya gesi nyingi sana tumboni. Vp ushauri wako nitumie dawa gani kukabiliana nayo?
Akhsante
 
Mkuu pole kwa hayo maradhi yako sugu ya vidonda vya tumbo nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia amradhi yako uguwa pole.
 
kula sana pilipili ili uweze kutengeneza mfumo mzuri wa tumbo.
utakataa ila ushwai sikia wahindi na wachina wanavidonda vya tumbo
 
Epuka kukaa na njaa muda mrefu
Epuka soda na alcohol
Acha chakula jamii ya maharage, ndizi za kuiva, vyakula vya kukaanga na kurosti, maziwa fresh.
 
Mkuu ni kweli mimi pia nna shida ya gesi nyingi sana tumboni. Vp ushauri wako nitumie dawa gani kukabiliana nayo?
Akhsante
Mkuu dawa kuondoa gesi ni kutumia juisi ya viazi mbatata au ulaya changanya na bicarbonate ( chapa maandazi) kijiko kidogo cha chai kwenye juisi, chukua kiazi kimoja kisage kwa Brenda au grater saga chote tia maji vijiko vitatu ili juisi owe nzito meza na makapi yake ni vizuri zaidi hasa tumbo likiwa wazi, yaani hujala chochote, hasa asubuhi na JIONI UTAKUJA KUNISHUKURU siku Moja.
 
Epuka kukaa na njaa muda mrefu
Epuka soda na alcohol
Acha chakula jamii ya maharage, ndizi za kuiva, vyakula vya kukaanga na kurosti, maziwa fresh.
ACHA uongo kama anavyo asitumie kabisa ndio anatibua
 
Mkuu dawa kuondoa gesi ni kutumia juisi ya viazi mbatata au ulaya changanya na bicarbonate ( chapa maandazi) kijiko kidogo cha chai kwenye juisi, chukua kiazi kimoja kisage kwa Brenda au grater saga chote tia maji vijiko vitatu ili juisi owe nzito meza na makapi yake ni vizuri zaidi hasa tumbo likiwa wazi, yaani hujala chochote, hasa asubuhi na JIONI UTAKUJA KUNISHUKURU siku Moja.
Aisee hii dawa nimeambiwa na binamu yangu ambaye alikuwa anasumbuliwa sn na vidonda. Ilifika kipindi Hadi alikuwa anatapika damu. Hii ndio dawa iliyomponyesha
 
Wapo watu wengi sana,,
Wanaangaika na vidonga vya Tumbo
Lakini kwa utafiti wangu ,,
hata wewe hauna shida ya vidonda vya Tumbo
Nenda ukadili na gesi tumboni....
hiyo inayo kusumbua wewe ni gesi
Umemshauri vizur na mm nilikuwa na hiyo shida, nimefanya kipimo cha h pylori kikawa positive, yale madawa yao ya wiki mbili yamenisaidia saiz tumbo limetulia.
 
Wapo watu wengi sana,,
Wanaangaika na vidonga vya Tumbo
Lakini kwa utafiti wangu ,,
hata wewe hauna shida ya vidonda vya Tumbo
Nenda ukadili na gesi tumboni....
hiyo inayo kusumbua wewe ni gesi
Naweza nikakuunga mkono
 
Vidonda vya tumbo pambana sana na gesi tumboni kwa kuangalia aina ya chakula ambacho unakula. Usipende kutumia vyakula vyenye Acid tumia zaidi vyakula vya Base. Asali maziwa fresh, nyama nyekundu, utumiaji wa nyanya kwa wingi achana nao kabisa
 
Mkuu dawa kuondoa gesi ni kutumia juisi ya viazi mbatata au ulaya changanya na bicarbonate ( chapa maandazi) kijiko kidogo cha chai kwenye juisi, chukua kiazi kimoja kisage kwa Brenda au grater saga chote tia maji vijiko vitatu ili juisi owe nzito meza na makapi yake ni vizuri zaidi hasa tumbo likiwa wazi, yaani hujala chochote, hasa asubuhi na JIONI UTAKUJA KUNISHUKURU siku Moja
 
Mkuu dawa kuondoa gesi ni kutumia juisi ya viazi mbatata au ulaya changanya na bicarbonate ( chapa maandazi) kijiko kidogo cha chai kwenye juisi, chukua kiazi kimoja kisage kwa Brenda au grater saga chote tia maji vijiko vitatu ili juisi owe nzito meza na makapi yake ni vizuri zaidi hasa tumbo likiwa wazi, yaani hujala chochote, hasa asubuhi na JIONI UTAKUJA KUNISHUKURU siku Moja.
Asante mkuu. Hivyo viazi unavichemsha kwanza ndo unasaga au unasaga vikiwa vibichi
 
Chukua mapeke ya maparachichi,
licharange, anika kwenye jua lisilo kali, baada ya siku mbili limekauka, twanga au blend, chekecha, unga wake

chukua kijiko kidogo kimoja changanya na asali, lamba kutwa mara tatu, in seven days utakuwa sawa.

Hukuelewa ni check for more clarifications.

Upone haraka.
 
Tuonane mwanza j3nipo buswelu nnadawa ya uhakika but napokea cash kwanza sababu kuna jamaa nimemtumia dawa aknidhulumu hela mm dawa nimeiandaa kwa thaman ya elf zaidi ya 50
 
Back
Top Bottom