Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 421
- 778
Umri: 34Nmesoma kichwahabari tu
Umri wako?.
Uzito?
Kazi yako?.
Ajali yoyote inayohusisha mgongo au Kichwa?.
Presha?.
Sukari?
Umepima Syphilis na HIV?.
Hiyo presha ya kua juu walikuambia ngapi?.Umri: 34
Uzito: 69 (sio mnene)
Kazi yangu: Mwalimu
Ajali ya mgongo: Hapana
Presha: Hapana (ila hivi vipindi vya kama mwezi mmoja kila nikienda hospital wakipima nakutwa na pressure ipo juu, japo hata madaktari hawajishughulishi kutoa comment yeyote)
Sukari: Juzi kati wiki kama 2 zilizopita walinipima wakasema ipo normal
Syphilis na HIV: Sijapima ila mienendo yangu inaniridhisha, na mbali na hiyo gazi sina dalili yeyote ya kuumwa popote
Daaah aisee, mara zote napima wanakuta high blood pressure ila hawaniambia shida ni nini, nimeshangaa kweli kweliHawa madaktari wa humu si ajabu ndio uliokutana nao ulipokwenda kupima, so ushauri utajirudia😅
Pole mwaya
Usema ukweli sikumbuki mkuu wangu ila comment pekee naikumbuka ni kwamba BP walisema ipo juuHiyo presha ya kua juu walikuambia ngapi?.
Mtandao ulikuwa wanisumbua mkuu wangu nisamehe mana nipo safariniMkuu, naona unajivuta sana kujibu.
Kama Presha Iko juu kuanzia 140/90 Anza kubadili aina ya Maisha, punguza unywaji wa Pombe, Chumvi iwe Gram 5 Kwa siku, Usizidishe maji Lita 3 Kwa siku , fanya mazoezi kwa wiki siku tatu, Kila siku tumia nusu saa.
Kama Iko juu ya 160/110 RUDI HOSP USHAURIANE NA MTAALAM WAKO UANZE DAWA NA UNYWE DAWA KILA SIKU SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO.
NA UZINGATIE USHAURI NLOUTOA HAPO JUU.
walimu kazi zenu ni za kusimama sana au kukaa muda mwingi, Kapige X-RAY YA CERVICAL THORACIC NA LUMBOSACRAL .
Alamsiki.
Nashukuru sana mkuu wangu umenipa elimu nitajitahidi niende tena hospital kucheki BP ipo ngapi..Mkuu, naona unajivuta sana kujibu.
Kama Presha Iko juu kuanzia 140/90 Anza kubadili aina ya Maisha, punguza unywaji wa Pombe, Chumvi iwe Gram 5 Kwa siku, Usizidishe maji Lita 3 Kwa siku , fanya mazoezi kwa wiki siku tatu, Kila siku tumia nusu saa.
Kama Iko juu ya 160/110 RUDI HOSP USHAURIANE NA MTAALAM WAKO UANZE DAWA NA UNYWE DAWA KILA SIKU SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO.
NA UZINGATIE USHAURI NLOUTOA HAPO JUU.
walimu kazi zenu ni za kusimama sana au kukaa muda mwingi, Kapige X-RAY YA CERVICAL THORACIC NA LUMBOSACRAL .
Alamsiki.
Maybe ufanye mazoezi kidogo.....ni Mawazo yangu tuUmri: 34
Uzito: 69 (sio mnene)
Kazi yangu: Mwalimu
Ajali ya mgongo: Hapana
Presha: Hapana (ila hivi vipindi vya kama mwezi mmoja kila nikienda hospital wakipima nakutwa na pressure ipo juu, japo hata madaktari hawajishughulishi kutoa comment yeyote)
Sukari: Juzi kati wiki kama 2 zilizopita walinipima wakasema ipo normal
Syphilis na HIV: Sijapima ila mienendo yangu inaniridhisha, na mbali na hiyo gazi sina dalili yeyote ya kuumwa popote
Usiogope ni hali ya kwawaida kuwa na mabadiliko ya kimwiliNashukuru sana mkuu wangu umenipa elimu nitajitahidi niende tena hospital kucheki BP ipo ngapi..
Kwenye zoezi pia nilikuwa na plan nianze sema nimekuwa mzito ila nitatilia maanani hilo.
Hii hali yanikosesha raha kabisa
Nahisi pia ni kweli, kabla ya mwezi wa 12, i was not okay, kuna mambo yalinitokea mwanangu aliumwa, mimi pia nilitoka kuumwa sababu ya lishe duni (Baada ya wife kuhamia mkoa kikazi lishe yangu haijawa nzuri) kwahiyo from August to November nilikuwa na kipindi fulani cha stress.Stress,sonona
HIV is equavalent to ARV.Umri: 34
Uzito: 69 (sio mnene)
Kazi yangu: Mwalimu
Ajali ya mgongo: Hapana
Presha: Hapana (ila hivi vipindi vya kama mwezi mmoja kila nikienda hospital wakipima nakutwa na pressure ipo juu, japo hata madaktari hawajishughulishi kutoa comment yeyote)
Sukari: Juzi kati wiki kama 2 zilizopita walinipima wakasema ipo normal
Syphilis na HIV: Sijapima ila mienendo yangu inaniridhisha, na mbali na hiyo gazi sina dalili yeyote ya kuumwa popote
NImeazimia hilo pia maana pia mchana nikijaribu kutembea kidogo natokwa jasho sana halafu ni dizaini kama inanipa relief fulaniMaybe ufanye mazoezi kidogo.....ni Mawazo yangu tu
Asante mkuuMungu akusaidie upone haraka 🙏