Nasumbuliwa na ganzi kwenye vidole vya mkono na hivi karibuni imesambaa kwenye miguu, shida inaweza kuwa nini hapa?

Mikhail Tal

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
421
Reaction score
778
Hii shida ilianza taratibu mwezi wa 12 mwanzoni ilianzia kwenye ncha za videle vya mkono. Nilijua itapona yenyewe ila sioni dalili.

Wiki moja iliyopita naona ni kama inahamia kwenye nyayo na vidole vya mguu.

Nilienda hospital, wakafanya full blood picture, cholesterol, sugar, urinalysis n.k ila nililuwa nipo okay.

Kuna issue ingine, mara mbili nilizoenda hospital kila walinipima blood pressure wananiambia ipo juu halafu pia kitu kingine kwenye viganja vya mkono, idadi ya misuli ni kama imeongezeka.

Embu naombeni wataalamu wa afya mniambie shida yaweza kuwa nini hapa na tiba yake, inanitesa kisaikolojia hii hali.
 
Nliwahi kupata hali kama hiyo ya ganzi kwenye vidole vya mikononi na miguuni kwenye visigino ila mimi BP iligundulika iko juu nikaanza dawa since nimekunywa hali ya ganzi iliisha japo ni sheeeda tupu naishi kwa losatarn na atenol nikaambiwa nikianza nisiache ni kama ARV 😥
 
Nmesoma kichwahabari tu

Umri wako?.
Uzito?
Kazi yako?.
Ajali yoyote inayohusisha mgongo au Kichwa?.
Presha?.
Sukari?

Umepima Syphilis na HIV?.
Umri: 34
Uzito: 69 (sio mnene)
Kazi yangu: Mwalimu
Ajali ya mgongo: Hapana
Presha: Hapana (ila hivi vipindi vya kama mwezi mmoja kila nikienda hospital wakipima nakutwa na pressure ipo juu, japo hata madaktari hawajishughulishi kutoa comment yeyote)
Sukari: Juzi kati wiki kama 2 zilizopita walinipima wakasema ipo normal
Syphilis na HIV: Sijapima ila mienendo yangu inaniridhisha, na mbali na hiyo gazi sina dalili yeyote ya kuumwa popote
 
Hiyo presha ya kua juu walikuambia ngapi?.
 
Mkuu, naona unajivuta sana kujibu.

Kama Presha Iko juu kuanzia 140/90 Anza kubadili aina ya Maisha, punguza unywaji wa Pombe, Chumvi iwe Gram 5 Kwa siku, Usizidishe maji Lita 3 Kwa siku , fanya mazoezi kwa wiki siku tatu, Kila siku tumia nusu saa.

Kama Iko juu ya 160/110 RUDI HOSP USHAURIANE NA MTAALAM WAKO UANZE DAWA NA UNYWE DAWA KILA SIKU SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO.
NA UZINGATIE USHAURI NLOUTOA HAPO JUU.

walimu kazi zenu ni za kusimama sana au kukaa muda mwingi, Kapige X-RAY YA CERVICAL THORACIC NA LUMBOSACRAL .

Alamsiki.
 
Mtandao ulikuwa wanisumbua mkuu wangu nisamehe mana nipo safarini
 
Mkuu, naona unajivuta sana kujibu.

Kama Presha Iko juu kuanzia 140/90 Anza kubadili aina ya Maisha, punguza unywaji wa Pombe, Chumvi iwe Gram 5 Kwa siku, Usizidishe maji Lita 3 Kwa siku , fanya mazoezi kwa wiki siku tatu, Kila siku tumia nusu saa.

Kama Iko juu ya 160/110 RUDI HOSP USHAURIANE NA MTAALAM WAKO UANZE DAWA NA UNYWE DAWA KILA SIKU SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO.
NA UZINGATIE USHAURI NLOUTOA HAPO JUU.

walimu kazi zenu ni za kusimama sana au kukaa muda mwingi, Kapige X-RAY YA CERVICAL THORACIC NA LUMBOSACRAL .

Alamsiki.
Nashukuru sana mkuu wangu umenipa elimu nitajitahidi niende tena hospital kucheki BP ipo ngapi..

Kwenye zoezi pia nilikuwa na plan nianze sema nimekuwa mzito ila nitatilia maanani hilo.

Hii hali yanikosesha raha kabisa
 
Umri: 34
Uzito: 69 (sio mnene)
Kazi yangu: Mwalimu
Ajali ya mgongo: Hapana
Presha: Hapana (ila hivi vipindi vya kama mwezi mmoja kila nikienda hospital wakipima nakutwa na pressure ipo juu, japo hata madaktari hawajishughulishi kutoa comment yeyote)
Sukari: Juzi kati wiki kama 2 zilizopita walinipima wakasema ipo normal
Syphilis na HIV: Sijapima ila mienendo yangu inaniridhisha, na mbali na hiyo gazi sina dalili yeyote ya kuumwa popote
Maybe ufanye mazoezi kidogo.....ni Mawazo yangu tu
 
Stress,sonona
Nahisi pia ni kweli, kabla ya mwezi wa 12, i was not okay, kuna mambo yalinitokea mwanangu aliumwa, mimi pia nilitoka kuumwa sababu ya lishe duni (Baada ya wife kuhamia mkoa kikazi lishe yangu haijawa nzuri) kwahiyo from August to November nilikuwa na kipindi fulani cha stress.

Nina hisia kwamba shock ya stress ndo imenipa hii outcome ya high BP
 
Umri: 34
Uzito: 69 (sio mnene)
Kazi yangu: Mwalimu
Ajali ya mgongo: Hapana
Presha: Hapana (ila hivi vipindi vya kama mwezi mmoja kila nikienda hospital wakipima nakutwa na pressure ipo juu, japo hata madaktari hawajishughulishi kutoa comment yeyote)
Sukari: Juzi kati wiki kama 2 zilizopita walinipima wakasema ipo normal
Syphilis na HIV: Sijapima ila mienendo yangu inaniridhisha, na mbali na hiyo gazi sina dalili yeyote ya kuumwa popote
HIV is equavalent to ARV.

Yale ma ARV huwa yanabomoa mishipa ya NEVA kiasi cha kupata PERIPHERAL NEURAL DAMAGE...

So yes, Ganzi is equal to ARV.
 
Back
Top Bottom