Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 421
- 778
Hii shida ilianza taratibu mwezi wa 12 mwanzoni ilianzia kwenye ncha za videle vya mkono. Nilijua itapona yenyewe ila sioni dalili.
Wiki moja iliyopita naona ni kama inahamia kwenye nyayo na vidole vya mguu.
Nilienda hospital, wakafanya full blood picture, cholesterol, sugar, urinalysis n.k ila nililuwa nipo okay.
Kuna issue ingine, mara mbili nilizoenda hospital kila walinipima blood pressure wananiambia ipo juu halafu pia kitu kingine kwenye viganja vya mkono, idadi ya misuli ni kama imeongezeka.
Embu naombeni wataalamu wa afya mniambie shida yaweza kuwa nini hapa na tiba yake, inanitesa kisaikolojia hii hali.