😂😂😂😂😂😂 Unamasihara sana pia tupunguze kuangalia movie za hovyo.kumbuka ubongo huwa unaludia matukio yaliyo fanywa muda uliopita..Hili nalo neno. Pia kama chumba kimejaa mavitu yaani makorokoro mengi kama stoo.
Yes naskia..au pia anaweza kuwa na malaria kali hajijui...mambo mengi sana yanasababisha hayaHili nalo neno. Pia kama chumba kimejaa mavitu yaani makorokoro mengi kama stoo.
Sio masihara mkuu [emoji3][emoji3], ni kweli kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unamasihara sana pia tupunguze kuangalia movie za hovyo.kumbuka ubongo huwa unaludia matukio yaliyo fanywa muda uliopita..
KabisaYes naskia..au pia anaweza kuwa na malaria kali hajijui...mambo mengi sana yanasababisha haya
Acha tu mkuu. Watu wanaleta utani pasipo utani. Asante"Walimwengu" hawa watu nihatali sana..Pole mkuu.
Majibu ya hapa 98% yatakuwa yakimasihara utajiongezea matatizo mengine bure.
Duniani kuna ujinga mwingi sana.kuna wajinga wachache wanapenda ujinga na wanaendeleza ujinga.
Usichoke kutafuta jibu pambana watakufelisha hao wajinga...
watamtundika mashetani wengine. Hawa wanaoenda kupata nguvu kwa waganga wanawezaje kutoa mashetani?Tafuta makanisa ya kilokole ya kiukweli wakuombee,ikiwezekana mkabidhi Mungu kabisa maisha yako kisha funga na kuomba kwa kushirikiana na watumishi wa ukweli tuone kama yatarudi, nguvu za giza zote kiboko yake ni YESU pekee,pole sana.
Pole sana. Unaishi wapi? Ili iwe rahisi kujua namna ya kukusaidiaHabari za Jioni wakuu!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.
Naomba ushauri kwa hili suala la kusumbuliwa na majinamizi haya wakati napokuwa nalala iwe mchana ,asubuhi au usiku.
Japokuwa hii hali huwa haitokei kila siku ila haipiti mwezi au wiki mbili ikajirudia.
Nakuwa nakabwa na Kinataka kuniingilia kinyume cha maumbile. Na nikiamka nasikia kma kuna mtu kanifanyia kitu kinyume na maumbile..Inauma Sana!
Hii hali nimepambana nayo sana sio kwa Waganga ama kwa watuimshi mbalimbali kuombewa.Ila mpaka sasa bado sijapata ufumbuzi.
Hali hii inanipa stress mpaka kuna kipindi natamani kujidhuru niondoke dunia hii,
Inaniumiza sana. Nifanyaje halii hii iishe,
Edit Kutokana na Maoni na comments za wadau::>
Hali hii inasimbua tangu sijamaliza hata chuo , zaidi ya mwaka wa Saba.
Kipato changu ni kizuri na najimudu vizuri na kuishi maisha mazuri tu.
Hali hii pia huwa inanitokea hata nikiwa nimelala na mwanmke wangu
Nashukuru sana mkuu.Jamiiforums siku hizi ina watu wa ajabu ajabu. Unaweza usipate msaada unaouhitaji.
Wengine nao wajuaji tu hata kama hawajui kitu. Basi ilimradi nao wamejitutumua kwa lolote.
Mizaha mizaha tu na kujitia werevu. Kila mtu anataka kuonekana ana maarifa.
Nafikiri ile kauli mbiu ya kusema kwamba Jamiiforums ni "home of great thinkers" ndio haswa inayowafanya hata wajinga wadhani wana akili timamu mara tu wanapojiunga humu.
Ni kama vile wanafikiri kwamba wanapojiunga humu wanapata 'automatic licence' ya kuwa WAJUVI, ama wanapokea miujiza fulani ya kuwa na akili nyingi.
Hata wale MAAMUMA wasiojua japo kusafisha kinywa, na wao unawakuta wanatoa ushauri mahali.
Bwana mkubwa nikupe pole sana. Hebu tafuta wataalamu wa kiroho watakusaidia.
Lakini pia, mambo ya kiroho yanahitaji mchakato unaohusisha toba, sala na dhamira ya kweli.
Pole sana.
Hizi lugha!!! Kufukuliwa tope?Ogea chumvi ya mawe, ila kufukuliwa tope inahitaji moyo Mimi hapana pangechimbika
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Pangechimbika na nani sasa mkuu wakati ngoma ukiamka tu unakuta shughuli imeisha!!?.Ogea chumvi ya mawe, ila kufukuliwa tope inahitaji moyo Mimi hapana pangechimbika
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu akitumia dawa za usingizi si ndio anarahisisha zoezi...Una shida kwenye akili yako mzee. (Saikologia effect) jitahidi kupata usingizi wa kutosha. Ikibidi hata dawa za usingizi tumia. Baada ya muda mchache hiyo hali itaaisha.