Nasumbuliwa na Jinamizi hili kila nikilala naomba Msaaada na Ushauri

Watu smart utawajua tu........ This is a smart comment. Umeelezea vema sana. Exactly nilichomwambia chini kule.....

Aidha anafikra za hofu ya kuingiliwa kinyume na maumbile akili yake inakuwa inamvuta kuwa ajaribu na nafsi yake haitaki, au basi inawezekana kuna tukio au matukio yalimkuta utotoni na yaliregister kichwani mwake kama kumbukumbu ya utotoni.
Na sasa hiyo kumbukumbu inamrejea na yeye kichwa kinakazana kumuuliza kuwa anakumbuka tukio fulani la utotoni sasa nafsi inakataa kushiriki ndio maana akili inamkazia inamletea katika sura ya illusion.
 
Asante mkuu. Hii kitu sio kama ndoto,Nadhani umenielewa vizuri.
Wait..... So inapokukuta unakuwa upo macho au katika hali ya usingizini.

Yaani unaweza kaa sebuleni ukashangaa mkono wa njemba unakupapasa, mara kidogo busu..... Hivyo au?!
 
Cha kufanya mwamini Yesu 100% Yesu akiingia ndani ya moyo wako shetani /pepo mchafu hawezi kaa ndani yako.Utaacha dhambi zote maombezi bila kumwamini Yesu na kuacha dhambi ni bure.kuwa mtu wa haki utaona na pia tafuta mahali sahihi pa kupata neno la Mungu yani kanisa la walokole kweli kweli wapo sio kwa wasanii
 
Sahihi kabisa,ndoto ni reflection ya kile mtu akiwazacho au alichokiona.
 
Dah! Poleni...
 
Ni popobawa wasumbufu tu ndugu yangu ogea maji chumvi. Yaani unavyoenda kuoga weka chumvi kwenye maji hasa ila chumvi ya mabonge, na ikiwezekana kitandani weka punje kadhaa za hiyo chumvi
 
Itoshe tu kusema Pole..Mungu akusaidie ndugu yangu kama haya ulioandika ni kweli.
Just ignore hawa wajuaji wataalam hewa wa saikolojia wanaoku judge.Possibly wanateseka na mengi vichwan mwao.

Ukiamua kwa dhat kabisaa ya moyo kumkabidhi Mungu maisha yaki, kumtafuta kwa kufunga na kuomba na kujifunza maandiko, trust me that situation will be resolved.Mungu akuepushe na hawa makanjanja wa kiroho maana hawana la kukusaidia..amua mwenyewe kwanza.
 
Ungekuwa Muisilam ningekushauru kabla ya kulala uchukue udhu yaani utawadhe then ungeswali laka 2 ulale,hapo unakumbatiwa na Maraika mpaka asubuhi,nani atakugusa
 
Nimejitahidi sana kwenda mkuu. Inaniumiza sana kwa kweli,
Yesu ni jibu tosha na hajawahi na hatashindwa kamwe.

Imani yako ikoje unapokuwa huko kwa hao wanaokuombea?

Mi hili jinamizi lilishawahi kumtokea mke wangu likimshawishi afanye nami mapenzi kinyume na maumbile zaidi ya mara tatu kwa wiki moja, lakini nilifunga na kumsihi Mungu anitetee katika hilo jaribu.

Nilitofautiana na Mke wangu na nilijaribu kumsihi zaidi kwa upole aache hakunielewa hadi nilimkasirikia kiasi isingekuwa kumwomba Mungu ndoa ingeshavunjika mapema tu.

Nilimpeleka Mke wangu kwa madaktari wawili tofauti akapimwe nikitaka kujua ni kweli alishaanza kufanya huo uchafu kwa kushawishiwa na rafiki zake wa kike au labda alinisaliti kimahusiano na Me mwingine.

Hatimaye niligundua ni pepo tu na nililiteketeza vibaya sana kwa maombi na imani thabiti kupitia jina la Yesu nilisha hiuo vita.
 
Nimejitahidi sana kwenda mkuu. Inaniumiza sana kwa kweli,
Ushuhuda mwingine;

Kuna Jamaa mmoja tulitofautana naye kijiweni tukicheza drafti na alinitishia nitakiona cha moto ili no ijue yeye ni mbabe kuliko mimi baada ya kutaka kupigana na mimi pale pale lakini alichemka.

Usiku wa siku hiyo hiyo Jamaa alinijia kimabavu katika ndoto akinilazimisha kunilawiti lakini nilikataa kwa nguvu zote kwa kukemea kwa jina lake Yesu.

Ilinigharimu zaidi ya dakika 1 kukataa kulawitiwa sababu alinijia kishirikina ndotoni lakini YESU ni kiboko ya hizo nguvu za giza maana nilimshinda na niliamka nikasali zaidi ya nusu saa nikimsihi Mungu akiruhusu hilo jaribu kunishinda litaniharibia hadhi yangu ya kiume na hiyo laana itaathiri hata kizazi cha watoto wangu, wajukuu, vitukuu n.k.

Yesu alinishindia hilo jaribu na sijawahi tena kutokewa na pepo kama hilo.
 
Habari za Jioni wakuu!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28..

Mkuu pole na hizo changamoto.

Kuna njia mbili zote zitakusaidia najua Utakuja kureta Mrejeshoo...#save the date.

1.Boniface mwamposa, kama upo dar es salaam jongea pale kawe Utakuja kunisimulia naomba ni ishie hapo.

2.kama hauwezi kupata access ya namba Moja hapo juu..Nikushauri hakikisha KILA unapo kua UWE NA MFUPA WA NGURUWE
na maanisha shonea kwenye boksa zako zote kipande Cha MFUPA wa NGURUWE
Then naomba uje uturudishie mrejesho.

Shukrani
 
Pole sana mkuu kwa changamoto hiyo nzito, kama huko nyuma kuna namna ulifanya matukio yasiyo sawa jaribu kufanya toba Mungu ni mwaminifu na wa haki atakusamehe kama ulimfanyia mtu kaombe msamaha pia, lakini la pili kabla ya kulala omba ulinzi wa Mungu maana duniani hapa mambo ni mengi ni ulinzi wa Mungu pekee ndiyo msaada kisha soma zaburi sura ya 4, 5, na 6 omba tena hizo ahadi Mungu azitimize kwako then chapa usingizi hutaona hayo mambo tena.
 
Aiseh!! yanataka kula kwa nguvu hata mchana jombaa unahitaji maombi sana
 
Tatizo lako ni dogo.. usilale ukiwa unaangalia juu.. lala kifudifudi au ubavu ubavu.. ukiota tena majinamizi utaniambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…