To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣🤣Tusemeje Tena?🙄Tuna jimudu tena. 😁😁😁 hata bajet tuna wategemea watasha wa ng'ambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Tusemeje Tena?🙄Tuna jimudu tena. 😁😁😁 hata bajet tuna wategemea watasha wa ng'ambo
Utabiri uchwaraNiutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.
Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani.
Israel amemtwaa mchezesha ngoma na hii nikwasababu amefanya makosa yale yale walio yafanya wafalme na majemedari wengine wakivita kuamini wanaweza kuitowesha israel ktk uso wa dunia.
Israel sio Taifa ila ni Mungu na wanadam. Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.
Naomba JamiiForums msifute thread yangu kama mlivyofuta ile ya Mkuu wa HEZBOLLAH leader Hassan Nasrallah.
Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei ametangaza jambo litampoteza kwenye uso wa dunia maana ilisha andikwa anaye ilaani Israel nikama amejilaani mwenyewe sasa Mungu wakati wote anangalia neno kulitimiza hii itatosha zaidi. Stay tune stay silent 🤫
mkuu unanifurahisha sana ''aisee'' ni kama response yako pekee karibia kwenye nyuzi nyingi
NI shiiida🤣🤣🤣🤣Tusemeje Tena?🙄
Aisee...kaazi ipo..Mimi sijasema kuwa wewe ni Mjinga au zuzu,
Nilichosema Mimi ni Israelite Kwa Imani, na najivunia kuwa hivyo sababu Yesu aliokoa maisha YANGU pale msalabani.
Heshimu uamuzi wa wengine kama ambavyo usingependa kuvunjiwa Heshima.
Nikuulize we Lokole la Mzee wa upako wa Mafuta ya Mwamposa, Vp kuhusu warumi waliowapa kipigo mwaka 70AD, wakalivunja hekalu na kuifanya nchi ya Israel kupotea uso wa dunia Kwa takribani milenia 2 (2000 yrs). Wakarejea hapo mashariki ya kati Kwa huruma ya Mwingireza, hapo Kwa mujibu wa maandiko waweza eleza nini kilijiri, na je ni nini kinachozuia Leo wasipokee hicho kichapo?!!.Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.
Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani.
Israel amemtwaa mchezesha ngoma na hii nikwasababu amefanya makosa yale yale walio yafanya wafalme na majemedari wengine wakivita kuamini wanaweza kuitowesha israel ktk uso wa dunia.
Israel sio Taifa ila ni Mungu na wanadam. Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.
Naomba JamiiForums msifute thread yangu kama mlivyofuta ile ya Mkuu wa HEZBOLLAH leader Hassan Nasrallah.
Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei ametangaza jambo litampoteza kwenye uso wa dunia maana ilisha andikwa anaye ilaani Israel nikama amejilaani mwenyewe sasa Mungu wakati wote anangalia neno kulitimiza hii itatosha zaidi. Stay tune stay silent 🤫
Aisee...kaazi ipo..Mimi sijasema kuwa wewe ni Mjinga au zuzu,
Nilichosema Mimi ni Israelite Kwa Imani, na najivunia kuwa hivyo sababu Yesu aliokoa maisha YANGU pale msalabani.
Heshimu uamuzi wa wengine kama ambavyo usingependa kuvunjiwa Heshima.
Haya yote ni mahaba Kwa Israel ama umekodiwa tu?Israel sio Taifa ila ni Mungu na wanadam. Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.
Bangi mbichi si poa!Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.
Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani.
Israel amemtwaa mchezesha ngoma na hii nikwasababu amefanya makosa yale yale walio yafanya wafalme na majemedari wengine wakivita kuamini wanaweza kuitowesha israel ktk uso wa dunia.
Israel sio Taifa ila ni Mungu na wanadam. Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.
Naomba JamiiForums msifute thread yangu kama mlivyofuta ile ya Mkuu wa HEZBOLLAH leader Hassan Nasrallah.
Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei ametangaza jambo litampoteza kwenye uso wa dunia maana ilisha andikwa anaye ilaani Israel nikama amejilaani mwenyewe sasa Mungu wakati wote anangalia neno kulitimiza hii itatosha zaidi. Stay tune stay silent 🤫
Hii ramli imeishia wapi 🤣🤣🤣🤣Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.
Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani.
Israel amemtwaa mchezesha ngoma na hii nikwasababu amefanya makosa yale yale walio yafanya wafalme na majemedari wengine wakivita kuamini wanaweza kuitowesha israel ktk uso wa dunia.
Israel sio Taifa ila ni Mungu na wanadam. Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.
Naomba JamiiForums msifute thread yangu kama mlivyofuta ile ya Mkuu wa HEZBOLLAH leader Hassan Nasrallah.
Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei ametangaza jambo litampoteza kwenye uso wa dunia maana ilisha andikwa anaye ilaani Israel nikama amejilaani mwenyewe sasa Mungu wakati wote anangalia neno kulitimiza hii itatosha zaidi. Stay tune stay silent 🤫
Ndugu yako Netanyahu moja haikai mbili haikai hapo kajificha kwenye bomb shelters na gas yake ya ORYX anasongea UgaliHii picha umeitoa wapi?
Inenifikirisha sana baada ya kuona namna huyo kijana alivyokaa kwenye godoro kama kalewa shibe ama usingizi, miikreti ya juice, mikate kibao, chakula juu ya jiko, glass zenye juice zaidi ya moja nk nk!
Kufuru yote ni ya nini!
Mbaya zaidi wanasayansi wakubwa karibu duniani kote haijalishi ni raia wa USA, CANADA, GERMAN, FRANCE nk. Ukitrace route zao utakuta wanadamu ya kiyahudi hapo ndio shida inapoanzia.
Huyu ni mtoa mada??
Ndio mkuu kwa jina anaitwa Masumbuko Benjamin NetanyahuHuyu ni mtoa mada??
Nimekusoma,ila wewe ni shabiki wa Israel kindakindaki snaNiutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.
Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani.
Israel amemtwaa mchezesha ngoma na hii nikwasababu amefanya makosa yale yale walio yafanya wafalme na majemedari wengine wakivita kuamini wanaweza kuitowesha israel ktk uso wa dunia.
Israel sio Taifa ila ni Mungu na wanadam. Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.
Naomba JamiiForums msifute thread yangu kama mlivyofuta ile ya Mkuu wa HEZBOLLAH leader Hassan Nasrallah.
Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei ametangaza jambo litampoteza kwenye uso wa dunia maana ilisha andikwa anaye ilaani Israel nikama amejilaani mwenyewe sasa Mungu wakati wote anangalia neno kulitimiza hii itatosha zaidi. Stay tune stay silent [emoji2958]