zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Aisee una matatizo ya akili, Sasa huko nyuma mhona waliwahi pigwa na babeli na warumi hadi wakatoweshwa makabila 10 yote utumwani.Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.
Mungu angekua upande wao wala wasingehitaji risasi au makombora ila ingetokea tu miujiza wakashinda vita. Ila wao kushinda vita huwa wanasifia akili zao na teknolojia zao je Mungu anatukuzwa wapi hapo?
Hao jamaa wanategemea zaidi msaada wa marekani nakuhakikishia hapa siku mpunga wa USA ukikata ndio mwisho wa taifa la Israel.
Mungu hawezi kukaa na watu wanaoua vichanga na wamama wasio na hatia.