Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.
Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani.
Israel amemtwaa mchezesha ngoma na hii nikwasababu amefanya makosa yale yale
Your content
www.jamiiforums.com
walio yafanya wafalme na majemedari wengine wakivita kuamini wanaweza kuitowesha israel ktk uso wa dunia.
Israel sio Taifa ila ni Mungu na wanadam. Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.
Naomba JamiiForums msifute thread yangu kama mlivyofuta ile ya Mkuu wa HEZBOLLAH leader Hassan Nasrallah.
Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei ametangaza jambo litampoteza kwenye uso wa dunia maana ilisha andikwa anaye ilaani Israel nikama amejilaani mwenyewe sasa Mungu wakati wote anangalia neno kulitimiza hii itatosha zaidi. Stay tune stay silent 🤫