Watu wako brainwashed to the extent mtu hawezi hata kutumia 6 common senses kung'amua mambo. Hizo hadithi za kusadikika ndo zimetufikisha hapa kama miafrica inayoamini Israeli ni watakatifu yaani wazungu waliweza kutuaribu akili beyond repair😆😆😆😆😆
Hivi na ushoga wote huo na maasi yote yanayifanywa na hao waisraeli ni utapeli ulioje bado miafrika inaamini Israeli ni taifa teule????
Na kwanini sisi kama waafrika hatujitambui kiasi kwamba tunaona jamii flani ni bora na sisi tunakazi ya kuwatukuza kiasi cha kuwaabudu hivi.
Ebu waafrica amkeni kutoka kwenye hilo lindi la usingizi hakuna mbinguni wala motoni wala taifa teule, ukishindwa kuishi kwa raha mustarehe hapa duniani, hii dunia itageuka motoni kwako na ukiishi poa hapa ndo mbinguni penyewe ukifa hamna miujiza😁😁😁wa kufufuka katika mwili mpya hasara imekula kwako unayeamini cell zilizooza zinaweza kuja kutoka kwenye udongo na kuungana na mifupa na kutoa mtu🤣🤣🤣.
Hizo stori za kusadikika zilitengenezwa kuishape jamii ili kuleta order na si vinginevyo. Na ndomaana kila jamii za kale zinastori zao. Hata mababu zetu walikuwa na stori zao za kuonya na kutisha watu mixer kutukuza. Ila watu wasio na uelewa wamekariri😂😂😂😂.