Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

1727976997620.jpg
 
Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.

Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani.

Israel amemtwaa mchezesha ngoma na hii nikwasababu amefanya makosa yale yale walio yafanya wafalme na majemedari wengine wakivita kuamini wanaweza kuitowesha israel ktk uso wa dunia.

Israel sio Taifa ila ni Mungu na wanadam. Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.

Naomba JamiiForums msifute thread yangu kama mlivyofuta ile ya Mkuu wa HEZBOLLAH leader Hassan Nasrallah.

Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei ametangaza jambo litampoteza kwenye uso wa dunia maana ilisha andikwa anaye ilaani Israel nikama amejilaani mwenyewe sasa Mungu wakati wote anangalia neno kulitimiza hii itatosha zaidi. Stay tune stay silent 🤫
Labda nikuulize Mungu anaangalia wanaotenda mema au watenda dhambi? Maana hiyo Israel ya kwenye vitabu vitakatifu na hii ya sasa ni tofauti,hawa ni watenda dhambi wakubwa,kwanza kwao USHOGA ruksa, halafu YESU unayemjua wewe wao hawajui na siyo inchi ya kidini
Wakati Iran ushoga marufuku na ukikutwa unauwawa, na wanamjui Yesu na ni inchi ya Kidini
 
Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.

Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani.

Israel amemtwaa mchezesha ngoma na hii nikwasababu amefanya makosa yale yale walio yafanya wafalme na majemedari wengine wakivita kuamini wanaweza kuitowesha israel ktk uso wa dunia.

Israel sio Taifa ila ni Mungu na wanadam. Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.

Naomba JamiiForums msifute thread yangu kama mlivyofuta ile ya Mkuu wa HEZBOLLAH leader Hassan Nasrallah.

Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei ametangaza jambo litampoteza kwenye uso wa dunia maana ilisha andikwa anaye ilaani Israel nikama amejilaani mwenyewe sasa Mungu wakati wote anangalia neno kulitimiza hii itatosha zaidi. Stay tune stay silent 🤫
Waajemi hawatishiwi nyau, wamesomq ilmu ahera Hadi wakabobea, ukiwaua ni kama umewawahisha tu kwa wale 72
 
Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.

Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani.

Israel amemtwaa mchezesha ngoma na hii nikwasababu amefanya makosa yale yale walio yafanya wafalme na majemedari wengine wakivita kuamini wanaweza kuitowesha israel ktk uso wa dunia.

Israel sio Taifa ila ni Mungu na wanadam. Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.

Naomba JamiiForums msifute thread yangu kama mlivyofuta ile ya Mkuu wa HEZBOLLAH leader Hassan Nasrallah.

Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei ametangaza jambo litampoteza kwenye uso wa dunia maana ilisha andikwa anaye ilaani Israel nikama amejilaani mwenyewe sasa Mungu wakati wote anangalia neno kulitimiza hii itatosha zaidi. Stay tune stay silent 🤫
weka akiba ya maneno !
Hii ngoma sio ya kitoto !
Marekani na Israel wapo mezani bado wanajadiliana wafanyeje !

This is for real 😳 !
 
Utabiri wako uliowahi kutimia niule ulio muua Bensatisa tu kwa sababu ulishiriki katika mauwaji.
 
Back
Top Bottom