Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwa kweli hata mimi nampinga Magufuli kwa mengi sana, lakini katika hii hoja nasema kweli naiona ni hoja dhaifu sana.Hii hoja bavicha ndio mnaipenda sana. Mmeshabiwa jamaa haongezi hata selinde na yeye kasema. Mbona mna ashki kiasi hicho? Anzisheni mada nyingine mpate airtime.
Kwa sababu.
1. Magufuli ameshasema haongezi muda.Wapinzani wake wanataka nini zaidi?
2. Kuongeza muda si jambo dogo, ni suala la mabadiliko ya katiba.
3. Kumhukumu mtu leo kwa kosa ambalo unafikiri atalifanya miaka mitano ijayo ni jambo la kijinga kabisa.
4. Hii hoja inaonesha paranoia kwa wanaoipigia mbinja.
5. Hoja hii ina distort message na kuondoq focus kwenye hoja za maana kqma wizi wa kura uliotokea 2020 na hoja nyingine nyingi za maana.