Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

Hawaumwi.

Pole sana kwa msiba mkuu.

Mama ameanza kuthibitisha kile mlichoficha kwa miaka 5. Soon tutajua ubadhirifu uliofanyika kwa miaka 5 ambao nchi haijawahi kushuhudia. Sijui mtaficha wapi sura zenu
Una matatizo kichwani....mama anaendeleza Yale ya Magufuli...wabadhirifu watendaji wabovu wore watashughulikiwa...hakuna kuoneana aibu...mwisho wa siku mtaanza kulalamika Kama ilivyokuwa kwa Magu..
Huyu ni mkali kuliko Magu...subiri uone...
 
Kumbe Magufuli hakuwamaliza wabadhirifu.....haha naona umepanic sana
 
Bora umwambie wewe.

Kuna watu wanaendekeza propaganda bila hata kuangalia hali halisi.
Mara nyingi watu kama hawa unakuta hana hata mtoto anayemsomesha hivyo hawezi jua lolote juu ya michango lukuki kwenye mashule, au unakuta ndiyo wale waliopata vyeo vya uRAS, VEO, WEO kwa kujipendekeza pendekeza hivyo maisha yao hayaendi bila kujipendekeza.
 
Kumbe Magufuli hakuwamaliza wabadhirifu.....haha naona umepanic sana
Kwanini nipanic...hainihusu...ila wezi wote wapigwe tu ..na watapigwa Sana tu huyu ni zaidi ya Magu...uliwahi kusokia wapi wezi wanaisha...Magu alikuwepo na watu walikuwa wanaendelea kupiga..dhahabu, vyuma vya reli, dawa na kadhalika
 
Nashukuru unakiri wapo wenye ujuzi kuliko. Magu alituletea chuki na ubaguzi. Bora ameondoka
Hapo ndipo unapotanguliza chuki zako kwa JPM...wewe ndiye mwenye chuki na pengine ni mwathirika wa hatua zake...pengine jlikuwa na vyeti fake au ulikuwa fisadi au rafiki wa mafisadi...Kama ni hivyo huwezi kjmpenda JPM .
.lakini kwa mamilioni ya Watanzania JPM alikuwa ni mkombozi...je umeona mamilioni ya watu wanavyomlilia? Umeona misafara ya watu wanaokwenda kumuaga? Hata Congo Haiti na kwingineko watu wamefanya maandamano kumuenzi mwana wa Afrika na mzalendo wa ukweli kwa nchi yake na Afrika...Halafu wewe kikaragosi sijui wa wapi unaleta zako za kuleta eti JPM alileta chuki...dah...shame to you...na mtaoigwa Sana na mpigwe...Sasa amekuja mama...mlifurahi alipofariki Sasa mtaomba poo...mtaoigwa Sana nyie...
 
Hata Hitler alipendwa na wengi na wapo wengi pia waliosikitishwa na kifo chake
 
Tulijipanga wengi kushuudia mmojawapo mimi kama mwanadamu mwenzangu na kushangaa msafara na mbwembwe,nilipenda Jeshi walivyojipanga pia ,ardhini na chopper angani na mav8; Pia lile gari la kuvuta tela mwili na ule mtambo/ mzinga; Nyimbo na Promo kubwa radio zote na tv, nilifurahi kushuhudia ni kweli Jiwe hatunae,apumzike kwa amani.
 
Duh.....aisee...watu wengine bwana...Raise hajipangii ulinzi...viongozi wa ulinzi kwa kuangalia mazingira ya nchi na ya kiongozi ndio wanaopanga ulinzi
 
Hata Hitler alipendwa na wengi na wapo wengi pia waliosikitishwa na kifo chake
Duh...siamini Kama wewe ni authority wa issues hizo...Mimi mwenzio nimesoma mwaka mzima the politics of industrial states...miongoni mwa topics...ni Germany and the rise and fall of Hitler...WWII na kadhalika...mwenzangu ulisoma Nini.?
 
Mnahangaika kweli na JPM, Watanzania ndio wamemchagua kuwa rais wa awamu ya 5 na 6. Kama mapenzi ya Alhaji Mwinyi yatapendeza basi atapewa zawadi ya awamu ya 7 kama shukrani. Sasa hapo kuna shida gani? Hilo wala halihitaji kupigia kura yaani 2025 kutakuwa na uchaguzi mkuu wa kuwachagua wabunge tu na JPM atapewa shukrani kwa miaka mitano mingine. Kama umechukia jinyonge ndio imetoka hiyo!
🤣🤣🤣😂😂😂🤭🤭🤭
 
Mkuu Kiranga huyo anayejiita Mwendawazimu ni muongo na MNAFIKI mkubwa sana. Huwa anasema kitu kile ambacho anajua Watanzania wengi tunakiunga mkono halafu baadaye hugeuka 180 degrees na kufanya kile ambacho Watanzania hatukitaki. Mfano ni Katiba mpya.

Mshika alikuwa kigeugeu, anachoaema ni tofauti na anachotenda.
 
Itakuwa hivyo kama ndani ya CCM hawatakubali wenyewe wenye connection na deep state.

Shida karata ya kupoteza control ndio itakayokuwa mwanzo wa anguko.
Natamani kujua Deep state ya Tanzania inaundwa na watu wagapi?
Hao walio kwenye Deep state ni nani na nani?
Ili uwe member wa Deep state unatakiwa uwe na sifa zipi?
Je! Deep state shughuli zao hasa ni zipi?
Je! Deep state ni zaidi ya TISS na Taasisi ya urais wa JMT?
Je! Deep state ofisi zao za kiutendaji ziko mkoa upi?
 
Hapo ndipo unapotanguliza chuki zako kwa JPM...wewe ndiye mwenye chuki na pengine ni mwathirika wa hatua zake...pengine jlikuwa na vyeti fake au ulikuwa fisadi au rafiki wa mafisadi...Kama ni hivyo huwezi kjmpenda JPM .
.lakini kwa mamilioni ya Watanzania JPM alikuwa ni mkombozi...je umeona mamilioni ya watu wanavyomlilia? Umeona misafara ya watu wanaokwenda kumuaga? Hata Congo Haiti na kwingineko watu wamefanya maandamano kumuenzi mwana wa Afrika na mzalendo wa ukweli kwa nchi yake na Afrika...Halafu wewe kikaragosi sijui wa wapi unaleta zako za kuleta eti JPM alileta chuki...dah...shame to you...na mtaoigwa Sana na mpigwe...Sasa amekuja mama...mlifurahi alipofariki Sasa mtaomba poo...mtaoigwa Sana nyie...
Si watumishi hatuna nyongeza ya mshahara tangu atoke KIKWETE.tuhuzunike kwa lipi???
 
Duh...siamini Kama wewe ni authority wa issues hizo...Mimi mwenzio nimesoma mwaka mzima the politics of industrial states...miongoni mwa topics...ni Germany and the rise and fall of Hitler...WWII na kadhalika...mwenzangu ulisoma Nini.?
Mzee Mwanakijiji katika account yako nyingine 1954
 
Si watumishi hatuna nyongeza ya mshahara tangu atoke KIKWETE.tuhuzunike kwa lipi???
Nyongeza ya mishahara kwa uzalishaji na tija ipi?!...watumisbi wenyewe wengi wenu kutwa kucha mko mitandaoni...kazi mnafanya saa ngapi?! Mmejaa majungu na fitina tupu...salary increment is it automatic? Ingekuwa ni hivyo na ni Sheria mngekuwa mmeshalipwa kitambo...siku hizi salary increment siyo automatic...inaendana na uzalishaji...hutaki kazi kaa nyumbani ili wengine wapate nafasi ...
 
Back
Top Bottom