hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Hakuna Cha shekhe yahaya watu wapo ktika system wanajua kinachojiriWe ni mjukuu wa shekh Yahya?
Hata hivyo kwa nchi hii ya Tanzania ni ngumu mnooo kumuongezea raisi muda wa kutawala Kuna kanuni zimewekwa mahususi na hazipaswi kuvunjwa kwaajili ya usalama wa nchi wewe unadhani waliofanya nchi hii awamu hii kuwe na raisi mkristo na awamu nyingine kuwe na Raisi muislam ni wajinga !? Kuna kile ambacho walikiona so wanajaribu kufanya power balance ili nchi isije kuingia ktk machafuko ya kidini pia Tanzania ni nchi iliyo
kimkakati Usafi wa siasa zake unachangia nafuu ya Utulivu wa nchi jirani na pia inachangia ustawi wa uchumi wa nchi hizo umeshawahi kujiuliza endapo Tanzania ikiingia ktk machafuko Nchi kama Malawi na zote ambazo hazina bandari zitakuwa na Hali ipi kiuchumi !?? So hata hao mabeberu wanategemea Sana hali ya usalama wa Tanzania ili waweze kufanya mambo Yao kwa wepesi kwa nchi zinazo izunguka Tanzania so endapo ikitokea Tanzania ikampata kiongozi ambaye anaweza kuvuruga amani ya taifa hili huyo kiongozi hawezi kuachwa wala kubaki salama Trust me na hicho ndio kilicho mkuta huyo jamaa yenu Akome Sana huko alipo maana alidhani hili taifa ni la baba yake [emoji16]