Natabiri Putin kufa kifo cha kutatanisha ndani ya miezi hii mitatu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Huu uzi utunzwe kwa kumbukumbu za tabiri tashtiti zilizowahi kutokea hapa JamiiForums.

Itakuwa hivi. Asubuhi ya Jumatatu, mwili wa Putin utakutwa unaelea kwenye bwawa la kuogelea.

Sii walinzi wake watakaokuwa na jawabu amezamazamaje na amefikaje swimming pool.

Tutayasikia mengi lakini huo ndio utakuwa mwisho wa Putin na mwanzo mpya wa Urusi mpya
 
Tuombe uzima
 
MOVIES zinaharibu sana bongo za vijana wengi wa Kitanzania.
 
Mlianza kusema ohoooo "Rais wa China kapinduliwa".
Mtoa Mada, Dunia inapitia mabadiliko ambayo hayana budi Kutokea .

Mabadiliko haya Kiini chake chote Wala sio uchumi au Siasa ..... Ni DINI !!.

Kwa hivo basi, imeamriwa Putin kuisaidia Dunia katika Umri wake .

HAWEZI Kufa Ndani ya hiyo miezi, atakufa miaka Kadhaa ijayo kama wanadam wengine wanavyokufa , kifo chake kitakuja siku nyingi zijazo Mara baada ya kukamlisha majukum yake.
 
fafanua khs mabadiliko ya kidini.
 
nadhani itakuwa unamtabiria kifo putin mwakyusa wa hapo mbeya.
 
Huwa nakuonaga uko smart sana.lakini kwa hili mmmh jitafakari sio kila ukijisikia unaandika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…